Ni nani anahusika kuandika WIKIPEDIA?

Ni nani anahusika kuandika WIKIPEDIA?

Unachosema ni kweli, lakini kweny 'user-generated content", watumiaji ndio wanapewa uhuru ya kupost bila kuingiliwa na mhariri. Ni kama hapa Jamii Forums, kila mtu anaweza kupost anachotaka lakini baadaye mods huwa wanafyeka zile post zisofaa.
Sawa kabisa. Lakini bado mimi kama user Nyaka-One siwezi kuhariri alichoandika user mwenzangu Shaka-Zulu kwa kutumia password yake hapa JF.
 
Back
Top Bottom