Ni nani aliyeleta na aliyetengeneza uchawi hapa duniani?

Ni nani aliyeleta na aliyetengeneza uchawi hapa duniani?

Hata ukiambiwa huto amini.

Jina limenitoka ila alianzisha uchawi ni Asili ya mwanaadamu inasemekana ni elimu na kulikuwako na kitabu maalum alikuwa anacho huyo jamaa ila baadae kwa amri ya Mungu akamrisha malaika akakichukue kwa maelezo yawanujua inasemekana ilisahauliwa page moja ya kitabu cha uchawi ktk pirika za kukichukua so page hiyo moja ndo inayofanya kazi uchawi wote unaowona unatendeka duniani unataka kujua zaidi kajiunge na uchawi utajua zaidi
Apo ume sema wongo mkubwa tukisoma biblia na koran vina tuambia mungu ni mwanzilishi wa kila kitu apa duniani yaani ni mwanzilishi wa kila kitu kinacho onekana na kisicho onekana kingine ni iki watu wafahamu kwamba si kila mwanadamu aliye umbwa na mungu ndo ana weza kufanya mihujiza apana ndo maana mungu aka ona awape na uchawi ili muanze kutibuwana ninyi kwa ninyi kwa wale wasio weza kufanya mihujiza sasa ujuwe palipo kibaya akukosi kizuri sasa wanadamu ndo walianza kuhutumia vibaya tu ila ukiwa na utumia kwa faida zako mimi sioni kama ni kosa
 
Kaka@bush land nashukuru sana kwa maswali yako mazuri nami naomba nikujibu kama ifutavyo
1)lengo la mungu kuleta uchawi hapa duniani kwanza ni mtihani kwa mwanadamu pia lilikua ni kuwapa wanadamu elimu juu ya binadam na mazingira yake na kuweza kupata utambuzi wa mambo mbalimbali, kwa mfano ukichukua mafuta ya mzaituni ukijipaka kila sehem yenye tundu kila unapolala basi shetani au majini wabaya hawawezi kukuingia kwani ndo njia zao hizo, lakini wanadamu wa Zama hizo waliitumia elimu hii vibaya kwa kuwadhuru binadam wenzie,ndo mana mungu kwa kua ana upendo akaghadhibika na kuamuru elimu ile irejee kwake lkn tayar watu walikua washapata ujuzi kidogo ndo huu unaotusumbua hadi leo.
2) malaika ni viumbe kama viumbe wengine ila tofauti yao wao wameumbwa kwa moto ni sisi ni kwa udongo, pia malaika hawazaliwi wala kutengenezwa kama magari wao waliumbwa kwa neo kua na wakawa. Malaika ndio watumishi wakuu wa mungu na wana kazi mbalimbali si kuleta uchawi pekee bali hata kuleta mvua, wahai,(maono), kuchukua nafsi yako, kuandika matendo yako mabaya na mazuri ya kila siku n.k, malaika wapo wa aina nyingi kulingana na idara zao.
3) uchawi uliletwa dunia na malaika wawili Haruta na Maaruta katika mji wa babel ambayo ndo Iraq ya sasa, kwa hyo watu wa kwanza kujifunza elimu hii ni watu wa mji wa babel.nafikiri nimekujibu kaka
Kama uchawi uliletwa na mungu kwa mazumuni ya kumsaidia mwanadamu sasa aliye wa ambia wanadamu kuwa uchawi una uwa tena uki utumia vibaya ninani?
NA kama ni ivo mungu mwenyewe tena ana juwa mwanadamu si mkamilifu ata umwambiye nini ata kugeuka tu sasa alivyo tupa uchawi akujuwa kama tuta uwana? Naombeni jibu!
 
Nikiongezea hapo juu lengo la kuleta uchawi ili tupimwe sababu kama kuna pepo na moto hivyo vitu tutavifikiaje bila mtihani? sasa kuna watu wanajaribiwa na wachawi kisha wanamsahau mungu na kuingia katika upotovu mkubwa.
Acheni ivo mungu awezi mpima mwanadamu na wakati ana juwa mwanadamu si mkamilifu na kama ni ivo kwanini sasa ata tuhukumu na wakati yeye ndo chanzo cha sisi kufanya zambi? Amini usi amini uchawi upo na muna paswa kutofautisha kwamba uchawi na miujiza ni ndugu na mungu alileta uchawi kwasababu ya kuwasaidia wanadamu maana mujiza uwezi kuhufanya kama auko mpakwa mafuta wa mungu lakini uchawi una weza kuhutumia ata kama auko mpakwa mafuta apo ndipo muta elewa kuwa uchawi uliletwa kwa kumsaidia mwanadamu kuponya sio eti uliletwa kwa kumjaribu mwanadamu no no no
 
Kama uchawi uliletwa na mungu kwa mazumuni ya kumsaidia mwanadamu sasa aliye wa ambia wanadamu kuwa uchawi una uwa tena uki utumia vibaya ninani?
NA kama ni ivo mungu mwenyewe tena ana juwa mwanadamu si mkamilifu ata umwambiye nini ata kugeuka tu sasa alivyo tupa uchawi akujuwa kama tuta uwana? Naombeni jibu!


Achana na watu waongo na wanaotoa mafundisho ya uongo. Mungu hajawahi kumpa au kumletea mwanadamu uchawi autumie. Uchawi asili yake ni Shetani. Ndio maana Mungu mwenyewe anakataza uchawi.

Mtu akitoa hoja mwambie alete nukuu kutoka kitabu anachokiamini kiwe Biblia au Quran na si Visasili vya zamani.

2 Nyakati 33:
5 Akajenga madhabahu kwa ajili ya jeshi lote la mbinguni katika nyua mbili za nyumba ya Bwana.
6 Tena akawapitisha wanawe motoni katika bonde la mwana wa Hinomu; akatazama bao, akabashiri, akafanya uganga, akajishughulisha na hao wenye pepo wa utambuzi, na wachawi; akafanya mabaya mengi machoni pa Bwana, hata kumkasirisha.

Mambo ya walawi 20:
6 Na mtu yule atakayewaendea wenye pepo, na wachawi, ili kuzini pamoja nao, nitakaza uso wangu juu ya mtu yule, nitamtenga na watu wake.
7 Jitakaseni basi, iweni watakatifu, kwa kuwa mimi ndimi Bwana, Mungu wenu.

Mambo ya walawi 19:
31 Msiwaendee wenye pepo, wala wachawi; msiwatafute; ili kutiwa unajisi na wao; Mimi ndimi Bwana, Mungu wenu.
 
Acheni ivo mungu awezi mpima mwanadamu na wakati ana juwa mwanadamu si mkamilifu na kama ni ivo kwanini sasa ata tuhukumu na wakati yeye ndo chanzo cha sisi kufanya zambi? Amini usi amini uchawi upo na muna paswa kutofautisha kwamba uchawi na miujiza ni ndugu na mungu alileta uchawi kwasababu ya kuwasaidia wanadamu maana mujiza uwezi kuhufanya kama auko mpakwa mafuta wa mungu lakini uchawi una weza kuhutumia ata kama auko mpakwa mafuta apo ndipo muta elewa kuwa uchawi uliletwa kwa kumsaidia mwanadamu kuponya sio eti uliletwa kwa kumjaribu mwanadamu no no no


Leta aya inayosema hayo then maliza na aya hapo chini. Usipende kuongea usiyoyajua.

2 Nyakati 33:
5 Akajenga madhabahu kwa ajili ya jeshi lote la mbinguni katika nyua mbili za nyumba ya Bwana.
6 Tena akawapitisha wanawe motoni katika bonde la mwana wa Hinomu; akatazama bao, akabashiri, akafanya uganga, akajishughulisha na hao wenye pepo wa utambuzi, na wachawi; akafanya mabaya mengi machoni pa Bwana, hata kumkasirisha.

Mambo ya walawi 20:
6 Na mtu yule atakayewaendea wenye pepo, na wachawi, ili kuzini pamoja nao, nitakaza uso wangu juu ya mtu yule, nitamtenga na watu wake.
7 Jitakaseni basi, iweni watakatifu, kwa kuwa mimi ndimi Bwana, Mungu wenu.

Mambo ya walawi 19:
31 Msiwaendee wenye pepo, wala wachawi; msiwatafute; ili kutiwa unajisi na wao; Mimi ndimi Bwana, Mungu wenu.
 
Kwanza kabisa mungu wa waislamu ni tofauti kabisa na Mungu wa Wakristo. Sina nafasi leo ya kufafanua hili ila kwa kifupi tu Mungu anayehubiriwa na Wakristo wa kweli ndiye muumba wa vyote ilhali yule anayehubiriwa na waislamu ni kiumbe tu ambacho kilikuwa malaika wa mwanga na kuasi na kuwa malaika wa giza.

Ukishajua hilo, ndio sasa unaweza kuona kwamba Mungu wa kweli hahusiki na wala hakuumba uovu au uchawi kama unavyosema, bali kile kiumbe chake kilichoasi ndicho kilileta uovu wote ikiwa pamoja na uchawi.

Uchawi sio kitu kingine bali ni kutumia uwezo wa binadamu wa kuamua kwa kushirikiana na roho chafu (shetani na malaika zake) kufanya uovu.

Kamwe Mungu wa kweli hakuumba uchawi, uchawi ni tokeo la kuanguka kwa Luciferi na wanadamu kutoka katika utukufu wa Mungu.

Kama unataka kuushinda uchawi, basi ishi kama mtoto wa Mungu Mwenyezi (Yesu Kristo) nawe hao wachawi watakuwa chini ya miguu yako.
Kwani duniani kuna mtoto wa shetani?

NA kama ni ivo mungu mwenye upendo na sisi binadamu kwanini akunyanganya shetani ile nguvu ili isi zidi kumuangamiza kiumbe chake?

Ivi kuna faida gani ya kuitwa baba bora wakati watoto wako wana kosa amani ahuwasaidiyi kitu kusaidia kwako mtoto wako mpaka akuite baba baba kama uyo ana weza kuitwa baba bora ?

Kwamujibu wa biblia na koran wana sema mungu amsaidiya yule anaye muomba sasa yule asiye muomba akipatwa na matatizo atakimbilia kwanani?
 
"Maneno yako muafaka sana ni kweli elimu hiyo ililetwa duniani iwe kama test kwa mwanadamu,na kuongezea zaidi hao wachawi pia hushirikiana na mwalimu wao mkubwa ambaye ndio shaitwaani yule tunayemjua siku zote"

Kwa maneno yako hapo juu unapotosha ukweli kwani unasema Mungu alileta uchawi kama test halafu unasema mwalimu wa wachawi ni shetani. Manake unasema Mungu ameshirikiana na shetani katika kuleta na kueneza uchawi, hili ni uzushi mbaya sana ndugu yabidi kubadilisha usemi wako na kutubu na pia anza kujifunza ukweli halisi kupitia YESU KRISTO aliye njia, ukweli na uzima.
Kwanza ninani aliye leta uchawi duniani ? Akiwa ni mungu sasa shetani ameusika aje apo na wakati mungu ndo chanzo cha kila kitu mungu asinge leta uchawi una amini tungeli ufanya? Sasa itawezakana aje umpime mtu alafu akikosea umwambiye eti uta muhukumu na wakati wewe ndo chanzo cha yeye kuaribu usinge mpima una uwakika angeli kosea? Acheni ujinga leteni jibu alali
 
Bush land unakumbuka vizuri mti wa kati wa ujuzi wa mema na mabaya? Mambo yote yalianza pale Eva alipolila lile tunda na kishapo kumpa Adam!
Kumbuka ule mti unaitwa MTI WA UJUZI WA MEMA NA MABAYA

Wachawi hawana nguvu kubwa kuliko Mungu wangekuwa nayo dunia ingeshaangamia, anachokifanya Mungu ni kuangalia na kuweka vizuri hesabu ya kila mmoja mpaka siku ya kiama
Sasa apo ndo nataka kujuwa kiama kita kuwa aje? Tume kosea nini
 
Nikweli kabisa kaka hilo liko wazi kua mungu wa waislam na mungu wa wakristo ni vitu viwili tofauti,labda nisaidie kitu kimoja kaka, mungu wa waislam anaitwa nani na yule wa wakristo anaitwa nani?pia unasema uchawi ni matokeo ya binadam kutumia uwezo wake wa kuamua kwa kushirikiana na shetani na malaika zake, swali
1 ) unaamini kabisa ktk dini yako binadam ana uwezo wa kuamua jambo na likawa?
2) mungu wenu ninyi ndo alowafundisha kua shetani nae ana malaika zake?au huwajui malaika ni viumbe wa aina gn na wameumbwa kwa kazi gn?
Watu kama ao ndo wajinga zaidi uta kuta mtu ana sifia mungu alafu uki mubebea maiti eti afufuwe yeye aliye na mungu mwenye nguvu zaidi ana shindwa sasa uyo mungu wake mwenye nguvu ni kusema sema tu na wakati afanyi chochote cha kumfanya mtu ahamini kama ni mwenye nguvu kweli
 
Back
Top Bottom