Midimay
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 3,086
- 5,143
Wakati mwingine public panic inaepukwa hata katika mapinduzi ya kijeshi, mauaji ya viongozi, vifo vya kawaida vya viongozi lakini Polisi wa Tanzania hawajui kabisa kuepuka public panic. Ndio maana Mimi naonaga tubadilishe kabisa qualifications za kujiunga na jeshi la Polisi.