Ni nani alimuua Marilyn Monroe?

kwani kwenye hiyo mijadala unayosema umesoma mitandaoni wanasema kauliwa na nani???
Unajua bro kuna watu wanahangaika na mambo makubwa yasiyo kwenye wigo wa uwezo wao wakati mambo madogo madogo bado hawajayamudu...mshauri tu awaze kwanza mfano mkao wa chura ni amesimama, amechuchumaa, mapozi ama pushup kisha aendelee na utafiti akomae taratibu!
 
Volume 7 kuhusu kuuawa kwa Kennedy ilikuwa iwekwe wazi October 26 mwaka huu. Bahati mbaya nayo imetoweka CIA hq. Hivyo hatuwezi kujua nani alimwua huyu binti. Lakini alikuwa mchepuko wa mzee na alikuwa loose manake yasemekana pia aliwahi kumgawia tunda Fidel Castro.

Hivyo ikaonekana anaweza kuwa agent wa Fidel.....kuna theories nyingi sana.
 
ndio maana Fidel aliwai mtambia JK kwamba yeye hata akiwa anahutubia anakuwaga free hata bullet proof havai na anamaliza salama kabisa teh teh teh
Fidel alikuwa na jeuri sana kumbe alikuwa anamdukua JK through Monroe.....aiseee..!!!
 
out of topic!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…