Ni nani adui/maadui wa raisi Kikwete?

Ni maskani kama ilivyo maskan nyingine
Wana JF,

IKULU imeingiliwa na watu ambao sio hawakujua wameenda hapo IKULU kufanya nini na kila mara me husema waliko ikulu ndio wanao mpaka JK matope kwani ufani wa kazi zao ni finyu sana akili ya kufanya jambo wao hawama ni kulalama kila kukicha hawajui kujenga hoja na kukabiliana na tuhuma wao kila kisemwacho ni maadui watu wabaya wasio itakia tanzania mema wasi mtakia JK mema ni yapi mazuri na mabaya nyie watu wa IKULU JK kafanya basi ili asisemwe na ulimwenguuu.

Mtu kamshutumu JK kwanini msikae chini mkatafakali na kujibu hoja kuliko kutoa matamko ya kukela wananchi na kutufanya mazuzu, Hizi kashfa za miaka ya nyuma ndio huwa zina watoa viongozi wengi wa nchi za ulaya na kwingineko waliko staarabika zaidi au wanao fuata maadili ya kazi na uwajibikaji sasa hapa kwetu na IKULU yetu wao siku zote ni ku defend JK hajafanyahiki au kile lakini wanajaisahau kuwa nao nibinadamau na pamoja na kuwa na usalama wa Taifa still amdudu ni mengi sana sasa na hilo la Jairo wabunge wasinge goma au kushikiwa kidedea kwa kasumba ya rais JK ni mtu wa kupuuzi mambo sana kwani anajionyesha wazi kwa raia wake kuwa utekelezaji wake ni wa ahadi zisizo timilika, Jana Mlimani City mume msikia Maghufuli akiunguruma JK anaweza hiyo style ya Maghufuli kwanza jamaa anajiamini kasoma uwezo anao uwajibikaji 100% nini chakuogopa Katiba ya nchi anaijua anafanya kazi kwa kufuata misingi na sheria na kanuni zilizopo za nchi sasa JK akiambiwa tuuu kigugumizi kingiiiii matokeo yake wananchi wanamwona huyu sasa hatufai.

My Take;

Kuna haja ya watu walioko ikulu wajue uwajibikaji wao nini maana ya wao kuwa pale sio kujenga unafki na fitina tuuu hapo IKULU fanyeni kazi mpaka maghufuli awafundisheni kazi hamuino aibu jamaa anawadharau sana washauri wa rais hamjui kitu hamjui kujenga HOJA jamani

Aaaargh,,,,,ndo nguo alizonunuliwa????
Ni mambo kama izi;

Adui yake ni nafsi yake mwenyewe na ili aweze kupambana na huyo adui yake anapaswa kwanza kujitambua na kuelewa kuwa yuko ikulu kuwaongoza wananchi na si kuiongoza ccm!

Back
Top Bottom