Ni nani adui/maadui wa raisi Kikwete?

Bajabiri

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Messages
9,743
Points
0

Bajabiri

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2011
9,743 0
Ikulu imepinga kwa nguvu sana juu ya kashfa ya rushwa inayomkabili aliyekuwa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa ambae kwa sasa ni Rais wa JMT Jakaya Kikwete, lakini pia katika ukanushi huo wa kurugenzi ya Mawasiliano-Ikulu imesema kuwa wanaofanya hivyo ni MAADUI WA RAIS JK.

Sasa swali linakuja au maswali yanakuja, je ni kina nani hao maadui wa jk, na kwa nini wanamfanyia uadui, ina maana waliosema haya mambo si waongo ila wamesema kwa uadui????

Je wana uadui binafsi na Jk au kiti alichokalia?????? Maana kwa sasa serikali imekua ya kulalama lalama tu,,,,,ingekuwa ni mtandao wa tanzania nahis wangesema ni chama fulani, nakumbuka miaka michache iliyopita Samwel sita nae kuna mambo yake yalimwagwa kwenye mitandao nae akasema ni maadui zake,,,,,,,,,,

NAOMBA KUTOA HOJA

Gama

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Messages
10,687
Points
2,000

Gama

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2010
10,687 2,000
Na CCM watoe tamko juu ya fedha kutoka nchi ya ilani kufadhiri mpango wake wa kuwania urais.

twahil

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Messages
4,058
Points
2,000

twahil

JF-Expert Member
Joined May 31, 2011
4,058 2,000
Maadui zake ni wale wazungu ambao wanadhamini CHADEMA.Lengo likiwa kuiangusha CCM.Wanatumika kuibua kashfa za uongo kwa rais wetu.WASHINDWE KWA JINA LA YESU.

Bigirita

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Messages
15,822
Points
2,000

Bigirita

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2007
15,822 2,000
Kwa hiyo jk ana maadui? Kwahiyo sio urais wake, ni yeye binafsi?
Balozi wa marekani naye ni adui yake? Kwa hiyo ikiwa ni taarifa kutoka nje ya tz, wanaitwa maadui, ikiwa ni taarifa kutoka ndani ya tz inakuwa wapinzani??

aache utani bana! Kununuliwa sarawili ni aibu!

twahil

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Messages
4,058
Points
2,000

twahil

JF-Expert Member
Joined May 31, 2011
4,058 2,000
Ukweli ni kwamba bila kushikamana na tukaamua kuendekeza ulimbukeni wa kushabikia kudhalilishwa rais wa nchi yetu,tutakua tunajidhalilisha sisi wenyewe pamoja na taifa letu.

Utingo

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Messages
7,389
Points
1,500

Utingo

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2009
7,389 1,500
Maadui zake ni wale wazungu ambao wanadhamini CHADEMA.Lengo likiwa kuiangusha CCM.Wanatumika kuibua kashfa za uongo kwa rais wetu.WASHINDWE KWA JINA LA YESU.
za gadaffi alizotumwa membe zenyewe unaona ni sawa tu?

Jethro

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2009
Messages
2,222
Points
1,225

Jethro

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2009
2,222 1,225
Wana JF,

IKULU imeingiliwa na watu ambao sio hawakujua wameenda hapo IKULU kufanya nini na kila mara me husema waliko ikulu ndio wanao mpaka JK matope kwani ufani wa kazi zao ni finyu sana akili ya kufanya jambo wao hawama ni kulalama kila kukicha hawajui kujenga hoja na kukabiliana na tuhuma wao kila kisemwacho ni maadui watu wabaya wasio itakia tanzania mema wasi mtakia JK mema ni yapi mazuri na mabaya nyie watu wa IKULU JK kafanya basi ili asisemwe na ulimwenguuu.

Mtu kamshutumu JK kwanini msikae chini mkatafakali na kujibu hoja kuliko kutoa matamko ya kukela wananchi na kutufanya mazuzu, Hizi kashfa za miaka ya nyuma ndio huwa zina watoa viongozi wengi wa nchi za ulaya na kwingineko waliko staarabika zaidi au wanao fuata maadili ya kazi na uwajibikaji sasa hapa kwetu na IKULU yetu wao siku zote ni ku defend JK hajafanyahiki au kile lakini wanajaisahau kuwa nao nibinadamau na pamoja na kuwa na usalama wa Taifa still amdudu ni mengi sana sasa na hilo la Jairo wabunge wasinge goma au kushikiwa kidedea kwa kasumba ya rais JK ni mtu wa kupuuzi mambo sana kwani anajionyesha wazi kwa raia wake kuwa utekelezaji wake ni wa ahadi zisizo timilika, Jana Mlimani City mume msikia Maghufuli akiunguruma JK anaweza hiyo style ya Maghufuli kwanza jamaa anajiamini kasoma uwezo anao uwajibikaji 100% nini chakuogopa Katiba ya nchi anaijua anafanya kazi kwa kufuata misingi na sheria na kanuni zilizopo za nchi sasa JK akiambiwa tuuu kigugumizi kingiiiii matokeo yake wananchi wanamwona huyu sasa hatufai.

My Take;

Kuna haja ya watu walioko ikulu wajue uwajibikaji wao nini maana ya wao kuwa pale sio kujenga unafki na fitina tuuu hapo IKULU fanyeni kazi mpaka maghufuli awafundisheni kazi hamuino aibu jamaa anawadharau sana washauri wa rais hamjui kitu hamjui kujenga HOJA jamani

AirTanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2011
Messages
1,139
Points
2,000

AirTanzania

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2011
1,139 2,000
Ukweli ni kwamba bila kushikamana na tukaamua kuendekeza ulimbukeni wa kushabikia kudhalilishwa rais wa nchi yetu,tutakua tunajidhalilisha sisi wenyewe pamoja na taifa letu.
Anajidhalilisha yeye mwenyewe kwa Tamaa zake na wala hakuna mtu anayemzalilisha, sana sana yeye ndio anayetudhalilisha na Taifa letu, Ulimbukeni ameuweka mbele. Na bado atajidhalilisha sana na kujivua nguo yeye mwenyewe. Kila Mtanzania anajua jinsi Fisadi wetu Papa Kikwete serikali yake ilivyolegelege inavyojidhalilisha kwetu sisi, Fisadi Kikwete anatakiwa ajiuzulu na awapishe wanaume wenye akili timamu waongoze nchi, na yeye mwenyewe asekwe JELA kwa Ufisadi na aibu alioiingizia Taifa.

Bajabiri

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Messages
9,743
Points
0

Bajabiri

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2011
9,743 0
Anajidhalilisha yeye mwenyewe kwa Tamaa zake na wala hakuna mtu anayemzalilisha, sana sana yeye ndio anayetudhalilisha na Taifa letu, Ulimbukeni ameuweka mbele. Na bado atajidhalilisha sana na kujivua nguo yeye mwenyewe. Kila Mtanzania anajua jinsi Fisadi wetu Papa Kikwete serikali yake ilivyolegelege inavyojidhalilisha kwetu sisi, Fisadi Kikwete anatakiwa ajiuzulu na awapishe wanaume wenye akili timamu waongoze nchi, na yeye mwenyewe asekwe JELA kwa Ufisadi na aibu alioiingizia Taifa.

Bajabiri

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Messages
9,743
Points
0

Bajabiri

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2011
9,743 0
Hahahahaaaa,,,,,,ntaanza kua makin hata na zawad za ndugu zangu,,,,,
hapa IKULU ina maana maadui wa JK wapo humuhumu nchin ila wamepitia wapi????WIKILEAKS
Kwa hiyo jk ana maadui? Kwahiyo sio urais wake, ni yeye binafsi?

Balozi wa marekani naye ni adui yake? Kwa hiyo ikiwa ni taarifa kutoka nje ya tz, wanaitwa maadui, ikiwa ni taarifa kutoka ndani ya tz inakuwa wapinzani??

aache utani bana! Kununuliwa sarawili ni aibu!

Forum statistics

Threads 1,390,858
Members 528,271
Posts 34,064,482
Top