Ni mwezi wa pili huu Nssf hawajatoa pesa ya mafao

Ni mwezi wa pili huu Nssf hawajatoa pesa ya mafao

nyakubonga

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
6,477
Reaction score
11,167
Mafao ya asilimia 33.3 hadi sasa ni kitendawili...

Je Nssf iliichangia CCM pesa zetu?

Kama hamkuchangia CCM, tupeni pesa yetu...

Mlinisumbua sana wakati nafuatilia pesa hii...

Licha ya kuwaambia kazi niliyokua naifanya sio profesional...

Ila mlishindwa kutumia busara kunipa pesa yangu ndogo, haizidi 2m...

Mkanambia sheria inasema wenye bachelor wanalipwa 33.3% ya mshahara wao wa mwisho...

Nikakubaliana nanyi kwa shingo upande...

Sasa mwezi wa pili unaenda kuisha hata hiyo pesa kidogo, mumeshindwa kulipa...

Tatizo nini, maana ni jasho langu hilo...

Kama mliichangia ccm(chama kilichoshindwa kutuajiri)pesa yangu, njooni mtoe majibu...
 
Back
Top Bottom