Ni mwanasiasa gani alikopa TIB?

Ni mwanasiasa gani alikopa TIB?

dyuteromaikota

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
5,937
Reaction score
8,358
Leo ktk taatifa ya habari ITV mh. Rais kasema kuna mwanasiasa alikopa bilion kadhaa TIB na anahaha kutaka asamehewe.
Ni nani huyo!?
 
Watu wengi wamekopa na huwa wanahaha kulipa na mwishowe dhamana huuzwa, sasa mpaka rais uanze kusema watu wanahaha hiyo sijui ni tendency gani! Kuna ka hulka ka kushangilia watu wawe maskini
 
Back
Top Bottom