Akida MALCOLM X
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 497
- 464
Ushamba tu,main source ya bank ni kukopesha! Halafu suala la kukopa ni la bank na muhusika! Yeye yanamuhusu nini? Sio kila mtu atapata Mtaji kwa kushirikiana na Mkapa kuuza nyumba za Serikali!
hahahaha kisa kaguswa Mbowe.........?Ushamba tu,main source ya bank ni kukopesha! Halafu suala la kukopa ni la bank na muhusika! Yeye yanamuhusu nini? Sio kila mtu atapata Mtaji kwa kushirikiana na Mkapa kuuza nyumba za Serikali!
Watu wengi wamekopa na huwa wanahaha kulipa na mwishowe dhamana huuzwa, sasa mpaka rais uanze kusema watu wanahaha hiyo sijui ni tendency gani! Kuna ka hulka ka kushangilia watu wawe maskini[/QUOhojaE]
hoja ni kulalamika kusamehewa,ukiona mnatokwa mapovu hivi atakuwa wa CDM tu
Tatizo ni kusumbua watu asamehewe umeelewa sasaKwani TIB si ipo kwaajili ya kukoprsha watu wanaokidhi vigezo? Je taasisi hii msemaji wake ndiye anaye peleka taarifa za wateja kwa watu wengine?
Anaanza kwanza na hao waliochukua hela TIBMakufuli rudisha ile nyumba uliyompa kimada wako na zile ulizojimilikisha na nyingine kuuza bei chee!!
iioEeee!!!??
dawa ya deni nini mkuiBaba anapokua mnafiki na mfitini sijui familia inakua je...hii ni hatari sana aisee
10ml nadaiwa vip huyo jamaa.asilipe ?Maden lazima tudai kwa waliokopa wote had wahitimu wa vyuo vikuu hatuna masihara kwenye maden jombaa
Binti yake jack mzindakaya naona anakula bata tuuuu....hatarii saafi hiyo mkuuMzindakaya huyo, alikopa kwa udhamini wa BOT hivyo serikali ndio inadaiwa kampuni yake imefilisika
Kama alikopa kwa utaratibu unaokubalika na alishalipa kiasi kwa nini aombe asamehewe kwani yeye hajawahi kukopa mheshimiwa nadhani ameanza kwenda ndivyo sivyo suala la kuomba kusamehewa kuna kukubaliwa au kukataliwa sasa yeye kinamhusu nini kwani alimdhamini mkopaji mpaka alishupalie hilo deni asipende kuwagombanisha wateja na benki zao yakisemwa ya kwake uchochezi hatufiki kwa mtindo huo siyo wakati wa kampeni huu
Alishagombea huko bariadi kupitia CCMkwani simon group nae ni mwanasiasa
Dr Chrisant MajiyaTanga MzindakayaMzindakaya
...kazi kweli kweli
Unaumwa tumbo la kuhara mkuu?Angalia ulichokiandika hapo juuWhy anayasema ndio ujue kuna mengi, kama mtunhuyo ana mali nanhataki zichukuliwe etc
Mkopo uwa na mengi. Alikopa ndio sababu ilikuwa hawamu ya prsa nje nje na aliyoweka kukopesha hakufikiria kama itakuja kutokea vitachukuliwa na benki na ndio hivyo.
Lazima anajuta na kuwish mganga wake angemtaarifu JPM ndie atachukua nchi na kuwa mgumu. Wengi wangeimaliza nchi kabla ya uchaguzi