Wamunzengo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 810
- 321
Ushamba tu,main source ya bank ni kukopesha! Halafu suala la kukopa ni la bank na muhusika! Yeye yanamuhusu nini? Sio kila mtu atapata Mtaji kwa kushirikiana na Mkapa kuuza nyumba za Serikali!
Tatizo sio kukopa, tatizo ni kukopa halaf unashindwa kulipa unaanza kuomba kusamehewa. Ina maana wakati unakopa ulikuwa hujui kama unatakiwa kulipa deni.?
Huyo mwanasiasa alipe tuu, sio aanze kujilizaliza, ALIPE PESA ALIZOKOPA. kuanza kuomba msamaha ndio kunamfanya asemwesemwe.