Mzindakaya huyo, alikopa kwa udhamini wa BOT hivyo serikali ndio inadaiwa kampuni yake imefilisikaMojawapo majiyasumbawanga
Mzindakaya huyo, alikopa kwa udhamini wa BOT hivyo serikali ndio inadaiwa kampuni yake imefilisikaMojawapo majiyasumbawanga
Sijakusoma mkuuMojawapo majiyasumbawanga
Ndo ya nani hiyo?Labda Simon Group
Eeee!!!??Mzindakaya huyo, alikopa kwa udhamini wa BOT hivyo serikali ndio inadaiwa kampuni yake imefilisika
Acha kujilaani mdomo unaumbakama mkweli si amseme? au naye analalamika kwetu? nchi hii ina laana
[emoji15] [emoji15]Eeee!!!??
[emoji23] [emoji23] Fanya ulipe mapema mkuuwadau ni mm nilichukua huo mpunga
Kwani lazima awe mkazi wa arusha kupata collateral huko? Yeye hajasema ni mtu wa Arusha bali aliweka collateral ya Arusha...acha upuuzi na wewe...Nape siyo wa ARUSHA, acha upuuzi
Amtumbue tuLeo ktk taatifa ya habari ITV mh. Rais kasema kuna mwanasiasa alikopa bilion kadhaa TIB na anahaha kutaka asamehewe.
Ni nani huyo!?
LionLeo ktk taatifa ya habari ITV mh. Rais kasema kuna mwanasiasa alikopa bilion kadhaa TIB na anahaha kutaka asamehewe.
Ni nani huyo!?