Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 24,879
- 44,782
Mbowe kazid mkuuHayo ni maisha yake binafsi na familia yake.Jiulize viongozi tu waliomadarakani ni wangapi wana madeni ?
Mbowe kazid mkuuHayo ni maisha yake binafsi na familia yake.Jiulize viongozi tu waliomadarakani ni wangapi wana madeni ?
Tz ina madeni kibao toka ulaya mpaka wameshindwa kurudishaMbowe kazid mkuu
Tz ina madeni kibao toka ulaya mpaka wameshindwa kurudisha
Tz ni nchi mbowe ni mtu binafisi kwa hiyo acha kulinganisha mtu binafis na nchiTz ina madeni kibao toka ulaya mpaka wameshindwa kurudisha
Hata km ni kweli ila hayakuhusu kwani kakukopa ww mkuu?Mbowe kazid mkuu
Maden lazima tudai kwa waliokopa wote had wahitimu wa vyuo vikuu hatuna masihara kwenye maden jombaaKama si ya masihara mbona wanasema hatufukui makaburi?!
Acha kuwa na akili ya kushikiwa!
hahahahahahahahaHayo ni maisha yake binafsi na familia yake.Jiulize viongozi tu waliomadarakani ni wangapi wana madeni ?
ya kwenu kwanza,mengine baadae...!Kama si ya masihara mbona wanasema hatufukui makaburi?!
Acha kuwa na akili ya kushikiwa!
Kudaiwa mkopo ni dhambi??? Mpaka Benki inamuamini wala ugoro mnataka nini teena. Atarudisha tuu.Tz ni nchi mbowe ni mtu binafisi kwa hiyo acha kulinganisha mtu binafis na nchi
mbowe alipe,na wenzie watafuata,halafu akilipa ndipo tutapata uwezo wa kuyalipa madeni ya nje!Tz ina madeni kibao toka ulaya mpaka wameshindwa kurudisha
anacho kinena,na figo pia!...una hakika na unacho kinena?
yanatuhusu,kwani ni kodi zetu!Hata km ni kweli ila hayakuhusu kwani kakukopa ww mkuu?
sawa mkuu,twendeleze jalamba!Maden lazima tudai kwa waliokopa wote had wahitimu wa vyuo vikuu hatuna masihara kwenye maden jombaa
ahahaha,magufuli kamatia hapo hapo,usiachie!Mbowe kashikwa pabaya hahaha
Mbowe ni mtanzania kama wewe wangapi wanakopa benki?? Kwa kuwa ni Mwenyekiti wa CHADEMA?? Mbona Lukuvi anadaiwa NBC na hatusemi??Mbowe kashikwa pabaya hahaha
Hivi wewe, kwani kukopa na kudaiwa ni dhambi?Tz ni nchi mbowe ni mtu binafisi kwa hiyo acha kulinganisha mtu binafis na nchi
wewe uvccm wewe? nani kakueleza kukopa ni dhambi? kwani umeambiwa huyo mkopaji amepitiliza muda wa kurejesha? Kama ndio, TIB si wanataratibu zao za kukusanya madeni kwa mikopo iliyomaliza muda wake?Mbowe unatakiwa urudishe hizo pesa ulizokopa TIB huu ni wakati mwingine mda wa kuchekeana ulishapita hii selikali si ya masihara sihara hatuna msamaha juu yako vingine shamba lako litapigwa mnada ulizoe kuish kwa ujanja ujanja sana sasa badilika