Hujagundua tu? Hako kajamaa hiyo Id ni ya akiba so far kuanzia juzi anajaribu kuisakrifais ilambwe moto ! Hana uchungu nayo.
Mbona unanitisha mkuu?
Hujagundua tu? Hako kajamaa hiyo Id ni ya akiba so far kuanzia juzi anajaribu kuisakrifais ilambwe moto ! Hana uchungu nayo.
Sijaona!
Ooh thanks darling! Mwaaaaa
follow your heart.....naomba unipe njia ya kuchagua kati ya niliowataja. uwezo wangu wa kuchuja umeishia hapo kwenye top four