Ni mwaka wa sita sasa sijala vitumbua nilijiapiza sitokula vitumbua tena kwa kile nilichokiona

Kama hivi nakvyokula hapa.jirani vilivyo vitamu...siachi kula ngo, Tena namshauri kama nayeye ni mbinu yake ajaribu na kukata gogo kabisa maana...radha yake ni mashallah
 
Ina maana wewe na mjomba wako mlikuwa mnakula vitumbua vilivyopikwa kwa maji kutoka kwenye papuchi? Du mnalalamika nini.Two in one, vitumbua na maji ya papuchi kama ofa!!!
 
Kuna mwingine ule uchafu wa anapokuwa kwenye siku zake alikuwa anauchanganya kwenye wali wateja wakawa wanajaa kibao.

 
Sio vitumbua tu, labda useme misosi yote ya gengen na kwenye migahawa huko.. Unaweza kununua andaz au muhogo kumbe yale yale.. Andaz limekandiwa utoko wa papuchi
 
Kwani vitumbua ndo tatizo au vitu vipikwavyo mtaani mbali na nyumbani kwenu.
Kilicho salama ni kile unachokipika mwenyewe tu.
 
Sasa una uhakika gani kuwa vyakula unavyokula havifanyiwi hayo uliyoyaona kwenye vitumbua
 
Kula ni kula tu! Watu kama wanakula hadi kule chini aaghh kitumbua nini bhana??
 
Mbona huyo mzuri
Mm nilishuhudia mama mmoja anakanda maandazi na maji ya chooni yenye funza
mengine tumuachie Mungu anaetulinda kila siku


Hayo yote tisa nilisimuliwa na rafiki yng kutoka Iringa kuwa mama mmoja muuza samaki alikuwa anauza minofu ya nyama za watu kwa miaka mingi akichanganya na vipande vichache vya samaki mpaka alipokuja kuumbuliwa na mzee mmoja ambae nimtaalam alipomuuzia minofu hiyo

Mshana atakuwa anajua vizuri haya mambo ajitokeze kutufafanulia
 
Kuna vitu vitatu ambavyo siwezi kabisa kula yaani nikiviona nahisi kutapika:
Maandazi
Chapati
Vitumbua,
Kisa kuna siku nilimkuta mama mmoja wa mgahawani akikanda unga kwaajili ya Chapati, yaani duuu!! Nataka tena kutapika hapa, maana nimekumbuka
Acha ujinga malizia ilikuwaje??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…