Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,377
Ni mwaka gani ulitumia computer kwa mara ya kwanza?
2002, nilikuwa nashinda nacheza super mario na dangerous dave, game zilikuwa ni 8bit. acha sasa hivi fifa13, nilitumia windows 95, wakati huo nilikuwa nna diskette zangu kadhaa za 1.4mb, ilikuwa poa sana. baada ya kumaliza shule nikapewa flash ya kwanza ilikuwa 256mb. ilikuwa muujiza kwangu, kutoka 1.4mb mpk 256mb, hapo nilikuwa nimeanza kutumia win2000
pc yangu ya kwanza nilimiliki 2006, nilipewa zawadi baada ya kuonekana napenda sana hicho kifaa.
Dah Kweli Umenikimbiza Sanaa Ww Unamiliki Kwa Mara Ya kwanza Mm nna anza Kutumia kwa Mara Ya Kwanza..... ila Mm Super Mario Nmecheza Mda Kidogo Ila Ilikua Kwenye Console Zle Kama Za Supersonic Pia Nlikua Nikicheza Duckhunt na Olympic Zote Zlikua Kwenye Hyo Console
kamanda umenikumbusha mbali kitu cha DOS,Nilianza kutumia Disk Operating System mwaka 1991
mjomba aliona napenda sana internet, akaamua anipe moja, yani hapo akawa kanifungulia ulimwengu mpya. maana nilikorokochoa pc yote, kisha nikaifunga upya, bila kugoogle.
Mm Mpaka Leo Sjawah Fungua Laptop Maana Nahs zipo Mu Deadly sana So naweza kala hasara
Nilianza kutumia Disk Operating System mwaka 1991
Mimi nilianza kutumia computer mnamo mwaka 1999. PC hiyo ilikuwa ni laptop aina ya Compaq ambayo ilikuwa inarun Windows 98.
Ni mwaka gani ulitumia computer kwa mara ya kwanza?