Hii ndio mara yako ya kwanza kuingia JF au ulikuwa upo hapa kitambo kama guest user?
Unajua wengine ndio ile dizaini ya wachumba sugu wameshaishi pamoja kama miaka mitano, then wanahalalisha ndoa kanisani alafu eti nao wanataka waende honeymoon ili kutumia huo muda kuzoeana? Mfyuuu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.