Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
Hahahah Babu GY.........ni kweli kabisa Ndoa zilizo wazi kwetu Bado....imajini Mamsap wako ambaye wewe bado unamfeel kiama, na hujawahi au hujabahatika kufall kwa mwingine anakuja anakwambia .......Mume wangu, ni muda sasa nimekuwa na mahusiano na rafiki yako Bigirita .........?? Sijui utajisikiaje
Na kwa Teamo hebu nambie mipaka ya hizi ndoa za wazi!!.............tutaruhusiwa kukidhi mahitaji ya hao tuliowasecond?? yaani Mama G amekwambia Mume wangu nimekuwa na Mahusiano na rafikio Asprin.ila sasa tumeamua tupate mtoto...uwiiiiiiiiiiii aiseee naombeni mniagizie Viceroy hapo kwanza
Yaani kwa kifupi hapo MJ1 unamaanisha mi namtafunia Teamo?
God Forbid....... Hebu edit hapo asee.