Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,272
- 1,035
- Thread starter
- #41
Sasa wewe unachangia hivyo kwakuwa tu UNAE?Ninaye na hata kwa nini siwezi mlelea upuuzi na kusingizia kupitiwa na shetani,
Unajua tatizo kwa upande wetu wadada ni kumpata mtu ukitokea kwenya maumivu ya kuachwa kwa hiyo tunaivaa hata michalii ya ajabu baadae tunaanza kujutia.