Ni muda muafaka wa ku-excercise ''open marriages''..?

so far sijaona msimamo comprehensive kuhusu hii thread....
nilijifunza hapa ni KUFANYA KWA SIRI.....!kuwa wasiri sana

Msimamo ni kuwa asilimia 100 ya wajumbe wamepinga ndoa wazi.....

Ila kama mmeshindwa kumwagana mikojo mikubwa, basi mkamwagie huko nje lakini kwa siri....
Hii itasaidia yafuatayo:
1.Ndoa hazitavunjika,
2.Vifo visivyotarajiwa havitakuwepo,
3.Kupunguza matumizi ya vipimo vya DNA - kuhakiki mtoto ni wa nani hasa (bora ulee toto la mtu bila kujua, kuliko kugundua mnayeshea kumwagia mikojo yenu mikubwa, mbegu zake zina nguvu kuliko zako):A S thumbs_down:
4.Utamu wa infidelity utaexist (Infidelity ina raha yake, asikudanganye mtu)
 
Mkuu open marriage kwa mazingira yetu haya ya kiafrika it doesn't work kama unataka watu watoane roho hivi unafikiri nani anayeweza kuvumilia a open marriage ni bora usijue kuwa mamsapu wako anamegwa kuliko kujua anamegwa halfu bado manaendelea kuishi wote nyumba moja, Teamo honestly speaking hii kitu inahitaji moyo na guts mpaka mmefikia makubaliano ya kuwa na open marriage sidhani kama kuna haja ya kuendelea kuishi pamoja mazingira yetu huku yako tofauti sana.

Hata mimi nadhani nipo vizuri hivi ambavyo sijui, kujua kunahitaji moyo
 
Ningependa kujua uhusiano wa kukoj...nini sijui na kuzaa but its off topic Babu Mkuu

All in all nakuunga mkono Its a Big NO. Yaani MJ1 nianze kufikiria zile sarakasi nnazopigishwa mie enda pigishwa Maty au LD ah ntalazimisha 3sum kwa kweli (japo nikodolee macho tu) ...........mmbanu

Kwa kweli hii itahitaji moyo. mi sitaki kabisa.......
 
Msimamo ni kuwa asilimia 100 ya wajumbe wamepinga ndoa wazi.....

Ila kama mmeshindwa kumwagana mikojo mikubwa, basi mkamwagie huko nje lakini kwa siri....
Hii itasaidia yafuatayo:
1.Ndoa hazitavunjika,
2.Vifo visivyotarajiwa havitakuwepo,
3.Kupunguza matumizi ya vipimo vya DNA - kuhakiki mtoto ni wa nani hasa (bora ulee toto la mtu bila kujua, kuliko kugundua mnayeshea kumwagia mikojo yenu mikubwa, mbegu zake zina nguvu kuliko zako):A S thumbs_down:
4.Utamu wa infidelity utaexist (Infidelity ina raha yake, asikudanganye mtu)

Rafiki kweli kabisa, siri ni kitu muhimu sana. Ila ikiwezekana, kwa wadada, tujitahidi tusipitilize mpaka kuleta na watoto nyumbani. mijamaa mingine ina damu kali sana, toto linatoka copyrite, sijui utajificha wapi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Rafiki utalipia bili za matibabu ya mbavu zangu.

Afu ukute jemaa lenyewe ni rafiki yake mumeo, au jirani yenu.
Nakumbuka kuna jamaa lilimpa talaka mkewe kwa kuwa alizaa mtoto zeruzeru, na pale mtaani kulikuwa kuna jamaa mmoja zeruzeru!
 
Hahahaha...wachangiaji hawajazidi 20.

Hii inamaanisha nini?

Hizi ndoa ziko taaban!!!
na waliotoa thenks ni watu nane tuu.....!
MWANAMKE MMOJA TU...mj1

ina maanisha nin?
 
Back
Top Bottom