Ni muda gani Barua ya Kuposa hujibiwa..?

mayowela

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
2,125
Reaction score
1,757
Makungwi na Washenga habari zenu, majina yenu kwa swaga siyajui🙂🙂, Mtu anapokwenda kujitambulisha kwao na mwanamke na akakubaliwa akaacha barua ya kuposa yenye kishika uchumba, anatakiwa asubiri kwa muda gani ili ijibiwe ikiwa inataja kiasi cha mahari ambacho anatakiwa kupeleka..?

Na iwapo majibu yakachelewa takribani miezi 4, na akimuuliza mchumba wake anamwambia watajibu tu usiwaze na siku zinaenda, ila mahusiano yao yako vizuri mpaka Mchumba anamshauri wakichelewa kujibu nipige mimba wala usiwaze ili kurahisisha vitu kama vitakuwa vigumu.

Je kuna ukomo wa kusubiri majibu na kama hujibiwi unaweza kuwajurisha kama umeahirisha maana wamekaa muda bila kukujibu,

Karibuni Makungwi na Washenga 🙂🙂

Karibuni Makungwi na Washenga🙂🙂
Piga mimba tu
 
kwa muda wote huo ni ishara tosha ombi lako limepingwa, pia mwanamke huyo anaelewa kuwa umekataliwa kwao ndio maana anataka mimba tu

jitafakari mkuu umekataliwa ukweni

tuambie unaUKWASi kiasi gani

Ukwasi upo wa kutosha sana tu chief, ila since day one wazazi walidai hakuna kipingamizi wamekubali,
ila kama mwanamke anafahamu mbona hataki sasa kunichana ukweli ila amekuwa akitoa updates tu muda wote..?
 
Wengine hujibiwa siku hiyo hiyo sidhani hata kama mwezi itapita ukiona kimya ni kirefu ujue nalo ni jibu pia
 
tunaufanyia kazi ushauri
Usifate uwo ushauri kama wazazi wanataka umuowe binti yao wangeshakujibu usijipalie moto kwa kumpa uyo binti mimba hakuna jambo baya kwenye familia kama wazazi wakiwa hawajaridhia ndoa yako kama vp tafuta mwingine ili uishi ndoa yenye AMANI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengine hujibiwa siku hiyo hiyo sidhani hata kama mwezi itapita ukiona kimya ni kirefu ujue nalo ni jibu pia
Ni kweli Kimya nalo ni jibu tena lenye nguvu, lakini mbona muhusika ni kama hajui chochote kuhusu jibu ila tayari ana natetesi za kiasi gani kitoke kama mahari
 
Usifate uwo ushauri kama wazazi wanataka umuowe binti yao wangeshakujibu usijipalie moto kwa kumpa uyo binti mimba hakuna jambo baya kwenye familia kama wazazi wakiwa hawajaridhia ndoa yako kama vp tafuta mwingine ili uishi ndoa yenye AMANI

Sent using Jamii Forums mobile app
sasa kama hawajaridhia inabidi wakae na mtoto wao wamjenge kisaikolojia, maana ana maamuzi mabaya sana kuna hata zaidi ya hilo la mimba
 
Sjui nyie utaratibu wenu umekuaje labda usubirie utajibiwa tu nako ni kuchoshana tu unataka kuoa kama umefanya interview bana sie kwetu mwanamke akitolewa barua hua na kias chochote cha pesa kama kianzio na jibu hutolewa hapohapo kama labda barua tumeipokea tuwajibu au mwajibiwa njoni sku flani mtakua mmepangiwa kima cha kutoa hii ya kimya kiref ni balaa
Ni kweli Kimya nalo ni jibu tena lenye nguvu, lakini mbona muhusika ni kama hajui chochote kuhusu jibu ila tayari ana natetesi za kiasi gani kitoke kama mahari
 
Sjui nyie utaratibu wenu umekuaje labda usubirie utajibiwa tu nako ni kuchoshana tu unataka kuoa kama umefanya interview bana sie kwetu mwanamke akitolewa barua hua na kias chochote cha pesa kama kianzio na jibu hutolewa hapohapo kama labda barua tumeipokea tuwajibu au mwajibiwa njoni sku flani mtakua mmepangiwa kima cha kutoa hii ya kimya kiref ni balaa
(hahahha kama Interview), unachosema ni kweli, sema familia nyingi siku hizi utandawazi unawaharibu utakuta mahari inakuwa kuuubwa, na wengi wanapenda Harusi sio Ndoa hapo ndio shida
 
muda ni kihere here cha mwanamke kutaka kuolewa....
ata push kwao mapema tuuu..ujibiwe chap
 
Back
Top Bottom