Ni mtandao upi wenye vifurushi vyenye dakika nyingi kupiga mitandao mingine?

mdhalendo

JF-Expert Member
Dec 14, 2011
282
273
Wadau,
Ninafanya tathmini ya kujiunga na mtandao wenye vifurushi vyenye kutoa dakika nyingi za kupiga kwenda mitandao mingine. Ninaamini hili ni jukwaa sahihi la kupata majibu sahihi! Ninaomba mwenye kufahamu mtandao huo mnisaidie. HASA VIFURUSHI VYA MWEZI TAFADHALI
Asanteni sana
 
Airtel. 2 GB na dakika 100 Airtel airtel tshs 1000 siku tatu, 1GB na dakika 150 Airtel airtel wiki nzima kwa tshs 150 na 10 GB kwa tshs 600 kuanzia saa 5 usiku hadi saa 11 asubuhi kwa wiki nzima
 
Dakika za kutoka mtandao mmoja kwenda mwingine mkuu...

Naona kama umeonesha airtel kwenda airtel tu.
 
Wadau,
Ninafanya tathmini ya kujiunga na mtandao wenye vifurushi vyenye kutoa dakika nyingi za kupiga kwenda mitandao mingine. Ninaamini hili ni jukwaa sahihi la kupata majibu sahihi! Ninaomba mwenye kufahamu mtandao huo mnisaidie.
Asanteni sana
Njoo voda kuna haliishi..135min all net 5000...unlimited time.

Piga *149*01# chagua cheka zogo ... Utatuamini aseee

Vodacom" the future is exciting "
 
Airtel. 2 GB na dakika 100 Airtel airtel tshs 1000 siku tatu, 1GB na dakika 150 Airtel airtel wiki nzima kwa tshs 150 na 10 GB kwa tshs 600 kuanzia saa 5 usiku hadi saa 11 asubuhi kwa wiki nzima

Sijaelewa hapa.unatakiwa kuzitumia usiku wa manane tu.upumbavu sana huu halafu kesho yake asubuhi usinzie kibaruani halafu mhindi akufukuze
 
Airtel. 2 GB na dakika 100 Airtel airtel tshs 1000 siku tatu, 1GB na dakika 150 Airtel airtel wiki nzima kwa tshs 150 na 10 GB kwa tshs 600 kuanzia saa 5 usiku hadi saa 11 asubuhi kwa wiki nzima
Hapo kwenye GB 10 kwa 600 nipe maelezo mkuu.
 
Back
Top Bottom