Ni mtaa huko kishasa

Utingo

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
10,270
8,033
AvPumbu.jpg

ni street huko ku kishasa
 
mmmhh ama kweli lugha achana nayo. Unachokiita kwa heshima kwa wengine ni matusi.
 
Ndio! na hapo pembeni wanauza vinyago. hata mimi nilishangaa sana, tena mtu nilie muuliza direction akanambia: kwa kufika haraka "chez nicolas", chukua pumbu. nilishangaa, alafu mtu nilie kua nae (mwenyeji kidogo) ndio akanambia Pumbu ni avenue. tena ipo Kinshasa Gombe, towwn kabisa!
 
attachment.php

Hawa jamaa ni kama hawa wa Kenya ambao nao wanajua vizuri kiswahili

url
 
wakenya na hiyo shule yao wamefunika bovu, it seems hiyo shule ipo eneo hilo tajwa.
 
hata hapa Tanzania kuna maneno mengine kwa kabila fulani ni maneno
ya kawaida lkn utakuta kwa kabila lingine ni tusi.
 
hata hapa Tanzania kuna maneno mengine kwa kabila fulani ni maneno
ya kawaida lkn utakuta kwa kabila lingine ni tusi.

Fikiria mtu anaitwa ****lo huko RSA, sisi kwetu pia majina ya warundi na wanyarwanda huwa yanatutoa wazimu, utasikia mtu anaitwa habyarimana au Ndikumana. Mana kwetu ni va.gi.na
 
Fikiria mtu anaitwa ****lo huko RSA, sisi kwetu pia majina ya warundi na wanyarwanda huwa yanatutoa wazimu, utasikia mtu anaitwa habyarimana au Ndikumana. Mana kwetu ni va.gi.na
Imana ndio Mungu sasa kule kwao!
 
hata hapa Tanzania kuna maneno mengine kwa kabila fulani ni maneno
ya kawaida lkn utakuta kwa kabila lingine ni tusi.

"Milele" kimalagasy (lugha iongewayo madagascar) maana yake ni ku'do'
 
Kuna mjapan mmoja alikuwa anaitwa Naitaka Kumamoto. Ilibidi apewe majina ya bandia ili yatumike kwa muda akiwa hapa nchini. Kule Japan kuna kitongoji/mtaa unaitwa Kumainata.
 
Kuna mjapan mmoja alikuwa anaitwa Naitaka Kumamoto. Ilibidi apewe majina ya bandia ili yatumike kwa muda akiwa hapa nchini. Kule Japan kuna kitongoji/mtaa unaitwa Kumainata.
ah haaa haaaa haaaaaaaa.................hiyo kubwa kuliko
 
Fikiria mtu anaitwa ****lo huko RSA, sisi kwetu pia majina ya warundi na wanyarwanda huwa yanatutoa wazimu, utasikia mtu anaitwa habyarimana au Ndikumana. Mana kwetu ni va.gi.na

Ni kweli mkuu, haya majina yanamambo kweli. Kilimanjaro kuna sehemu inaitwa "Ndungu". Sasa nenda Mbeya utaje hilo jina uone watu watakavyokukimbia!!!!
 
Wakuu msisahau na ule ukoo maarufu wa Mboro...! Kijana wa kichaga alikosa mke Mkuranga kwa kujitambulisha kuwa ametokea ktk ukoo huo maarufu wa Mboro...!
 
Ni kweli mkuu, haya majina yanamambo kweli. Kilimanjaro kuna sehemu inaitwa "Ndungu". Sasa nenda Mbeya utaje hilo jina uone watu watakavyokukimbia!!!![
/QUOTE]

' Ndungu´' kwetu Undambani ni aina ya Samaki. lugha ndivyo ilivyo.
 
Back
Top Bottom