Ni msichana gani atakataa baada ya haya?

adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
4,475
4,265
Let's say its a weekend jumamosi flani tulivu hivi.. Siku hiyo uko njema vibaya mno umepiga magumashi yako taa ya kijani itawaka.. Mara Ukakumbuka kale kabinti unakokatoleaga udenda daily. Ukamvutia waya. Ukamuomba mwende lunch akakubali. Ukapitia petrol station fasta ukaweka full tank then ukamuibukia mtaani kwao.. Mtoto akauliza lunch wapi ukajibu usijali baby hapo southern sun 2. Straight mpaka uko. Mkapiga msosi hadi mida flani ya nane nane hivi. Mkageuza. Njiani ukamwambia una hamu ya kutoka usiku huo n ukaulizia vp kama anaweza akakupa company nn? Bibie akajibu ataangalia. Poa mtu mzima ukachekecha akili fasta ukaamua hivi.. Baby hebu tupitie hapo mlimani kwanza. Mlipofika straight mkaingia pale For You 2 ukamchagulia kivazi k1 matata sana. Then ukampitisha pale Sheer Illussion akatengeneza nywele fresh then ukamrejesha mtaani kwao kwa miadi kuwa utampitia kwenye mida ya saa 1 1 hivi. Kweli bana mida hiyo ukamuibukia tena mtoto anawaka kinoma.. Frm there kituo cha kwanza ukaamua mkacheki movie cinemax kubuy time kidogo hadi mida flani ya 3 hivi then mkapitia nyumbani lounge mkala kidogo n story mbili tatu ofkoz na chupa kadhaa hapo hadi mida flani ya 5,6 haoooo thai village kupata burudani.. Kufika hapo watu wengi wengi baby hajapapenda sana ukamsoma mkahama kiwanja haoo garden biastro sasa baby karidhika. Mkala maisha kiasi chake hadi saa10 flani mkaamua kuchomoka.. Mpaka muda huo kilaji kimekolea baby akajawa na wasiwasi kama utafika salama baada ya kumdrop kwao so akaamua ni bora ahakikishe umefika salama kwako then aondoke kwao. Kufika kwako UKAKOMAA watoto wa kiume nadhani mtanielewa vyema hapo. Swali je! Bi mdada ataweka kukuchomolea kweli??

Ni Mtazamo wadada msininune.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
sasa expense zote hizo just for k jamani....kumbe kazi bivyo kupata bupa ndio maana mie sipati
loh kweli no armani no punani*
 
kweli maendeleo kuja ni ngumu sana kama twaweza poteza alot for a person you aint sure if she is single
Pili inategemea wengine hayo mambo wamezoea yaani kutolewa .
Tatu kama mwelevu atashangaa ulivyopoteza hela wakati kuna watu wanazitafuta hawapati
Nne siku akikutosa utalia sana na kukumbuka ulichofanya
Tano utaonekana maonesho
etc
 
kweli maendeleo kuja ni ngumu sana kama twaweza poteza alot for a person you aint sure if she is single
Pili inategemea wengine hayo mambo wamezoea yaani kutolewa .
Tatu kama mwelevu atashangaa ulivyopoteza hela wakati kuna watu wanazitafuta hawapati
Nne siku akikutosa utalia sana na kukumbuka ulichofanya
Tano utaonekana maonesho
etc

No comment

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
naona sinema ya msangi na ulimboka imetawala humu,nipe total cost mwisho wa cku,hata kwa makadirio tu,ili uwe hvyo lazima uwe mtoto wa kigogo aliyemsema rage wewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom