Ni msichana gani atakataa baada ya haya?

Ni msichana gani atakataa baada ya haya?

Dah! Poleni sana masharo, alafu wanaopenda swaga hizo gari huwa eiza wameazima au ya kaka/dada zao!
halafu baada ya matanuzi yote haya hata mchemsho wa ngo'ombe pale Rombo Greenviuu unakushinda kwa miezi kadha...LOL.
 
Babu umeitoa wapi hii?

Nimeikubali, hamu inaweza ikakufanya ufanye lolote ili ikupe utamu eti.

Halafu unakuta kumbe utamu wenyewe umepungua kwa zaidi ya 60%!!

Hii dunia ni taabu kweli kweli!!

Hivi, hawa watoto/vijana wenu siku hizi hamuwapi hata tuition kidogo ya kupepeta mdomo?

Nakumbuka hili somo lilikuwa linafundishwa sana enzi zetu!!

Babu DC!!
 
Halafu unakuta kumbwa utamu wenyewe umepungua kwa zaidi ya 60%!!

Hii dunia ni taabu kweli kweli!!

Hivi, hawa watoto/vijana wenu siku hizi hamuwapi hata tuition kidogo ya kupepeta mdomo?

Nakumbuka hili somo lilikuwa linafundishwa sana enzi zetu!!

Babu DC!!

Uwii babu, unakuta utamu si utamu, taabu tupu.

Au unafanya yote alafu anakupotezea. Ngoja tutaomba mada hii iingizwe kwenye somo la CIVICS.

Maana twaweza poteza vijana walio na ujasiri wa kuzungumza mbele ya wadada, na kuchumbia ikawa shida.
 
Back
Top Bottom