Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,880
- 7,022

nilimuona kweny kirikuuHabari wakuu!
Huyu Ni mnyama gani?
Kauliwa na mbwa wa nyumbani usiku
View attachment 1456304View attachment 1456305View attachment 1456306
Sent using Jamii Forums mobile app

Sio honey B(kubwa) huyoo....ChiefMiguu na masikio kama sungura lakini mkia wake mrefu hawezi kua yeye.
Sitaki kabisa kuamini kua huyo ni mtemi honey badger ameangushwa kizembe na mbwa?
That's an emaciated raccoonHabari wakuu!
Huyu Ni mnyama gani?
Kauliwa na mbwa wa nyumbani usiku
View attachment 1456304View attachment 1456305View attachment 1456306
Sent using Jamii Forums mobile app
Na akikutana na mwanamke anapiga pushapu kwanza ndo mambo mengine yanaendelea.Akikutana na binadamu hasa wa kiume cha kwanza huwa ananyofoa sehemu nyeti
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kweli ni hatari tupuNa akikutana na mwanamke anapiga pushapu kwanza ndo mambo mengine yanaendelea.
Uko makiniSiyo Nyegere! Nyegere ni huyu hapa na huwa ana uwezo wa kuwapiga hata Simba tano. Sidhani kama mbwa anaweza kumuua huyu!
View attachment 1456330

Habari wakuu!
Huyu Ni mnyama gani?
Kauliwa na mbwa wa nyumbani usiku
View attachment 1456304View attachment 1456305View attachment 1456306
Sent using Jamii Forums mobile app
FungoMpaka Comment yangu namba 95 HAKUNA ALIYEPATIA jina la huyo Mnyama, mmelishana matango, Huyo siyo KICHECHE na wala Siyo Honey B.
Ngojja niiingie kwenye Kamusi ya Wanyama niwaletee jina lake huyu Mnyama huyo ambaye huonekana usiku tu, na Sifa yake nyingine ni Kujisaidia eneo moja hilo hilo hata kama anaishi Rozana na Choo kipo Kimboka lazima afuate kilipo eneo la choo chake alipopazoea. Hula wadudu wadogo wadogo
Inavyoonekana humjui nyegere bro!! Huyo ni mnyama tofauti kabisa na nyegere.Nyegere huyo umemtoa wapi boda wangu?
Jr![]()
Sawa nimeshaeleweshwa kakaInavyoonekana humjui nyegere bro!! Huyo ni mnyama tofauti kabisa na nyegere.
Sent using Jamii Forums mobile app

Maelezo yako yanamaanisha huyo mnyana ni fungo! Lkn ukweli ni kuwa fungo ana mwili mkubwa na hana mkia mrefu kama huyo.Mpaka Comment yangu namba 95 HAKUNA ALIYEPATIA jina la huyo Mnyama, mmelishana matango, Huyo siyo KICHECHE na wala Siyo Honey B.