Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
Siyo Nyegere! Nyegere ni huyu hapa na huwa ana uwezo wa kuwapiga hata Simba tano. Sidhani kama mbwa anaweza kumuua huyu!Same gene
Jr![]()
Siyo Nyegere! Nyegere ni huyu hapa na huwa ana uwezo wa kuwapiga hata Simba tano. Sidhani kama mbwa anaweza kumuua huyu!Same gene
Jr![]()
Imani potofu, zawadi ya wenye akili ndogo.Huyo ni kibwengo maji angalia kama kuna jirani yako kafa ujue ndio alikuwa kajigeuza huyo mdudu ili awafanyizie bahati yako una MUNGU
Hata Mimi ndio nafahamu hivyoSiyo Nyegere! Nyegere ni huyu hapa na huwa ana uwezo wa kuwapiga hata Simba tano. Sidhani kama mbwa anaweza kumuua huyu! View attachment 1456330
Ok asanteSiyo Nyegere! Nyegere ni huyu hapa na huwa ana uwezo wa kuwapiga hata Simba tano. Sidhani kama mbwa anaweza kumuua huyu! View attachment 1456330

Siyo Nyegere! Nyegere ni huyu hapa na huwa ana uwezo wa kuwapiga hata Simba tano. Sidhani kama mbwa anaweza kumuua huyu! View attachment 1456330
Mwili wake ndivyo ulivyoumbwa ni kama wewe na panya kuna dawa za binadamu kwa panya ni sumu ila panya kuna vitu anakula hadhuriki wewe kula sabuni tuoneHivi inakuaje mpaka nyegere anamtafuna vhatu + koboko+ cobra Nini kinachomsaidia asidhurike na sumu Kali za Hawa jamaa?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunachangamsha genge tu hapa acha kutokwa mapovu
Na honey badger ndio yukoje bro?Siyo Nyegere! Nyegere ni huyu hapa na huwa ana uwezo wa kuwapiga hata Simba tano. Sidhani kama mbwa anaweza kumuua huyu! View attachment 1456330
Honey badger ndiyo huyu Nyegere kwa kiswahiliNa honey badger ndo yukoje bro?
Honey bedger anakimbia kama hatakiNa honey badger ndio yukoje bro?
Umefunga thread.Thubutuuuuuuuu....
Nyegere a.k.a honey badger umgalagaze kiasi hichoo?
Huyu ni kicheche...
View attachment 1456338
Angekua ni nyegere, Napendaka kumuita
Mr Die harder,
View attachment 1456340
Hio picha yake ingekua ya Maiti ya mbwa
kama mbwa ni mbabe basi angalau tungeona maiti mbili hapo.
Mi namjua kwa kilugha chetu kule vijijiji wanafyonza sana asali kwenye mzinga wa nyuki. Au wanakula kuku kile kichwa tuu kiwiliwiki wanaachaHabari wakuu!
Huyu Ni mnyama gani?
Kauliwa na mbwa wa nyumbani usiku
View attachment 1456304View attachment 1456305View attachment 1456306
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kafa mbwa kavunja vunja sana mbavu na uti wa mgongoHapo kafa au ndo manyoya yake yalivyo?
Kwa hiyo jf ni jengeTunachangamsha genge tu hapa acha kutokwa mapovu