Nilimpa lift jumatano asubuhi wiki iliyopita. Anasoma chuo cha usimamizi wa hotel. Aliomba namba yangu ili ikiwezekana niwe nampa lifti siku moja moja hasa nyakati za asubuhi na jioni. Siku hiyo Jioni alinipigia simu kuniuliza kama nimetoka kazini ili nimsaidie lift. Bahati nzuri nilikuwa karibu kutoka ofcn, akaopt kunisubiri. On ourway home Aliniuliza ninaishi na nani, nikamjibu na wadogo zangu na nina mchumba yupo hapahapa Bongo ila hatuishi nae. Akasema yeye anaishi na mumewe na wana mototo mmoja wa miaka minne, mumewe ni mtu wa kusafiri sana safari za mikoani. Lakini Kuanzia hiyo jtano she keep on trying to be close to me, also she asked my weekend plans. I managed to avoid meeting with her this weekend but Im not sure if my strength to avoid her forever will persist longer coz she is so cute. Sina uhakika kama anataka mahusiano lakini ni ngumu kumkatalia akitaka. The way she talk, the way she look, the way she ask, her figure Uhhhhh! dud Nifanyeje na huyu mtu? Leo nilipanga sinta mpa-lift sikupokea hata simu yake asubuhi lakini nilipofika kituoni ikawa kama mbwa mbele ya chatu.
SaliminiUko salama?
Yes bro! I promised myself kutotembea na mke wa mtu, help me how can i avoid her?
Simple,akikupigia usipokee,akituma msg usi reply,ukimkuta kituoni funga vioo,akitumia namba usiyoijua ukapokea kama asubuhi mwambie umeshapita kituoni na kama jioni mwambie umeshatoka na unakaribia nyumbani;hata kama hajui kusoma ataona picha na ataelewa somo kama kichwani yuko vizuri. Akikupigia akauliza kwa nini unamu avoid mwambie mchumba wako hafurahii lift unazompa na ukaribu wenu kwa hiyo ungefurahi kama angeacha kukupigia na kukutumia sms. Bora Lawama Kuliko Fedheha.Yes bro! I promised myself kutotembea na mke wa mtu, help me how can i avoid her?
Meaning that????Dah...naona hapa kila mtu ana act innocent kabisaaa..
Dogo Elia, umesoma uzi wa Asprin wa kucheat responsibly? ni hayo tu
I see!!!!Sikiliza Elia,
Mle kwanza, ukimaliza utaona pamoja na uzuri wake yuko sawa au hamfikii kabisa mchumba wako kwa uroda, hapo ndio utaweza kutulia. Mara moja na usijenge kibanda tafadhali utakutwa. Hakuna aliyeiba mara moja akakamatwa (Sijui nimekupa ushauri wa kishetani???sijui)
Meaning that????