Ni Mjazito Hataki Wazazi Wajue?

Kwanini unajiuliza kuwaambia wazee?? Au wewe ni sehemu ya tatizo- hiyo mimba ni yako mkuu?

ha ha! me ni sister wangu huyu dada ila kama angekuwa siyo ningemshauri asiitoe ailee tu nitengeneze maisha tuoane baadaye au anipatie toto langu nimlee
 
Afu baada ya miaka kadhaa mtu anajitokeza kutaka kuoa, unaambiwa binti yetu alijitunza sana, bila 5M mahari hujampata bado!!! Aaah, sina ushauri!!
 
ni dada yangu mtoto wa baba mdogo aliyekuja mjini kureseat necta ya form 4 ,alimaliza mwaka jana na kufeli ss kashika mimba tulizani kuwa ni malaria baba akanipa fedha nimpeleke akapime baada ya kupima hana malaria ni mimba ss ananiambia nimfichie siri naombeni ushauri wakuu

Ile kitu ni kama pembe la ng'ombe....halifichiki. I am telling u that the end will come to justify the commencement.
 
ni dada yangu mtoto wa baba mdogo aliyekuja mjini kureseat necta ya form 4 ,alimaliza mwaka jana na kufeli ss kashika mimba tulizani kuwa ni malaria baba akanipa fedha nimpeleke akapime baada ya kupima hana malaria ni mimba ss ananiambia nimfichie siri naombeni ushauri wakuu
Sasa ushauri gani jinsi ya kuficha mimba huyo mwomba ushauri naye chizi kweli?
 
Mpaka saivii hujasema unasubirii nini?ngoja apate majanga ndo utakumbuka kusema ninge ninge!
 
Back
Top Bottom