Ni Mjazito Hataki Wazazi Wajue?

ss mkuu ushauri ni jambo muhimu na huyu sister bado mdogo[/QUOTE]

Angekuwa mdogo angebeba mimba?
Hebu peleka majibu kwa mzee kama ulivyoagizwa ulipopewa pesa umpeleke hospital kwa vipimo,mimba haifichwi!!!
 
Ndo useme sasa asubuhii...isije kukucost!

leo hajaenda shule huyu sister wangu na bado hajalijua hili jiji la dar vizuri maana ana miezi 2 tu hapa mjini, asubuhi kabla sijaenda chuo nitawatonya wazee tu
 
waambie tu ila mtie moyo.anaweza rud shule

nampa moyo japo anaonekana anamawazo mengi nafkiri anafkiri wazee hapa home watapanic vipi na wazazi wake wa kule kijijini ila atatulia baada ya wazee kupata habari
 
Hawa watoto mpaka sasa hawajui jinsi ya kujilinda?,mtoto wa kisasa unapata mimba kijinga hivyo?...
 
Please waambie wazazi wako. Ukiendelea kuficha unampa nafasi ya kuitoa na kupata madhara zaidi:confused2:
 
Hapo ndo umeficha siri sasa vijana wa siku hz tabu tupu kweli na kama Baba yako yupo huku kuna siri gani!!
 
Mfichie tu then tumbo litamuumbua

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
nimewasilisha kwa wazee wakuu wangu ss wanajaribu kuangalia namna ya kuwataarifu wazazi wake huko kijijini japo itawaumiza sana maana ndo mtoto wao waliokuwa wakimtegemea one day awainue wazazi wake toka nyumba ya udongo mpaka tofari
 
Back
Top Bottom