Ni miongoni mwa wanawake warembo wa Kisukuma na mheshimiwa Diwani mtarajiwa mkoani Shinyanga

Mwanamke huyu mpole,mwenye maadili ya Kisukuma na mfanyabiashara ambae ni mmiliki wa Nyumbani Pub iliyopo wilayani Kahama mkoani Shinyanga ni mlimbwende wa haja na ukiiutana nae utafurahia Kwa jinsi alivyo mcheshi si mwingine Bali sister Miriam.

Ni kipenzi cha watu wote kuanzia watu wazima hadI vijana wafanyabishara wa matunda hadi machinga bila kuwasahau bodaboda

Ndio mgombea udiwani mtarajiwa Kwa mwaka 2020 au ukitokea uchaguzi kabla ya hapo ktk kata maarufu ya Nyahanga wilayani Kahama.

Ajajichagua yeye Bali maoni ya watu yamempendekeza awe mgombea,

Tunawaomba watu wa chama mjiridhishe nae tukizingatia hatupendezi mtu kwa rushwa wala maelekezo ya mtu Bali mtu muwajibikaji

Instagram:kaukwaju
Wallahi warembo wameisha kama na huyu nae ni mrembo
 
Nyumbani Pub iko mitaa gani namikamuungishe weekend moja


Mitaa yangu ni Golden Valley, Rock Point, Royal Fast Food, Pine ridge


Niongezee Nyumbani Pub iliko nikachangie pato la Taifa
Kwenye ghorofa jipya linatazamana na lake oil jirani na stand ya mabasi ya mikoani. humo humo kwenye jengo
 
Back
Top Bottom