Ni Mimi tuu au na nyie hivyo hivyo

Ni Mimi tuu au na nyie hivyo hivyo

Amani iwe juu yenu

Mara Kwa mara nimejenga mazoea ya kunywa maziwa fresh,mara nyingi hunywa kiasi ya nusu Lita.
Baada ya kunywa baada ya saa Moja na kuendelea naanza kujamba Jamba Hadi nakosa raha Hali hii huendelea Kwa siku nzima yaani 24hours baada ya kunywa.

Je hii Hali ni kwangu tuu au nyie hivyo hivyo?
Je nifanye nn hii Hali isitokee baada ya kunywa maziwa?
Tafuta njemba ikupime kizibo kama kimekaa vizuri.
 
Acha kunywa maziwa

Mimi pia inanitokea lakini pia nakojos Sana...
 
Hiyo ni lactose intolerance. Mwili wako hauwezi digest sukari ya maziwa iitwayo lactose. Solution ni kuachana na fresh unywe mtindi
 
Amani iwe juu yenu

Mara Kwa mara nimejenga mazoea ya kunywa maziwa fresh,mara nyingi hunywa kiasi ya nusu Lita.
Baada ya kunywa baada ya saa Moja na kuendelea naanza kujamba Jamba Hadi nakosa raha Hali hii huendelea Kwa siku nzima yaani 24hours baada ya kunywa.

Je hii Hali ni kwangu tuu au nyie hivyo hivyo?
Je nifanye nn hii Hali isitokee baada ya kunywa maziwa?
Usirudie kutaja Hilo jina kujamba mbele ya mpemba bola ungetumia kupumua 😅😅😅

naskia akiskia kitu kujamba Ana chizika sjui kwanini🤭🤭
 
Back
Top Bottom