Amani iwe juu yenu
Mara Kwa mara nimejenga mazoea ya kunywa maziwa fresh,mara nyingi hunywa kiasi ya nusu Lita.
Baada ya kunywa baada ya saa Moja na kuendelea naanza kujamba Jamba Hadi nakosa raha Hali hii huendelea Kwa siku nzima yaani 24hours baada ya kunywa.
Je hii Hali ni kwangu tuu au nyie hivyo hivyo?
Je nifanye nn hii Hali isitokee baada ya kunywa maziwa?