Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 486
Yaani sijui ni nini.
Nakaa mchana kutwa najiapiza mi sinywi tena pombe! Nakaaaaaaaaa mpaka saa 12 jioni ghafla kiherehere kinanianza! Kunywa japo bia moja aaaaaah kunywa konyagi! Aaaa basi hata ka sminoff kamoja yaaaaaaani hii ni nini sasa? Kiherehere ama ni ulafi tu! Niko hapa nakunywa Konyagi eti kwani ni mbaya! Kiherehere na kisebusebu papo hapo! Kesho naaapa sinywi pombe!
kwanza:jina ID yako inaruhusu kuwa cha pombe...
pili:uko wap nikuje??
mi nilishaapa hadi nimesema siapi tena...nikipata appetite nagonga moja napoteaFunga na kusali hutakunywa hyo kitu... Mimi nilikuwa kama wewe nikaacha sasahvi najinyweaga vi-castle vyangu vi3 tu naenda home.
Una will power dhaifu.
Mwanaume wa kweli anapojipangia huwa hatetereki na kwenda kinyume na maamuzi.
Wewe una kilukuli. Yaani huwezi kuifwata kauli yako. Amua kama dume. Kesho hunywi tena na usinywe tuul umur.
Nitumie hiyo sminorf kwa bluetooth.
ugonjwa huo pia ninao,
ila mimi nakuzidi na sigara
sivuti kutwa nzima ila nikitoka ofisini ni noumer
nakinywa bia moko na fegi mbili
Ukitamani pombe na ushindwe kuiziwia tamaa yako: tafuta msaada wa kitaalam
Ukinywa chupa mbili za wine (or more) kwa wiki: tafuta Msaada wa kitaalam
Ukinywa zaidi ya bia nne kwa siku moja(50cl each)tena mara 4 kwa wiki au zaidi: tafuta msaada wa kitaalam
U-alcoholic unakunyemelea...