Ni mimi au binti ndo mwenye matatizo?

Ni mimi au binti ndo mwenye matatizo?

Binti yuko sawa ...too much wala wala yani kwa lugha nyingine too forest of words but desert of point hahahahahahahah.
 
Paaay eezetopm ilabm epukisa ehcadeah. Anoiku oyvih auj akatana euja inin aegnoanut

Aimutana uvugn aujuk aladab ay aimutuk ilika ua aziluuk awk ubitaratu! Anahcaemin eyan anab, anaam iwelehcuh awibirahuk ukis.
 
Ahaa mi nlijua kuwa ni wanaume pekee ndo hatupend wanawake wanaoongea kupita maelezo, kumbe hata nao wanawake hawapendi wana ume wanaoongea sana

umesema unapenda utawale mongezi unajua raha ya maongezi ni kujibizana sasa unaongea mpaka unamfanya yeye awe bubu mi nahsi amezidi manjonjo hasaa



wanawake wanapenda uwape nafasi nao waongee hili na lile ..........sasa ataenda kupakaza vingine huko


take care

am done.........
 
Unajua kwa nini kakukimbia??????


Maongezi peleka malumbano ya hoja kule itv,, ukiwa na mpenzi wako malavidavi tuu..............hilo hukulijua tuuu
 
tatizo lako ni roporopo wajifanya unajua kila kitu binti kakuchora kakuona kilaza tu
 
Mkuu joh mitazamo, ameachana na wewe kwa sababu tabia zako na zake haziendani. Kiufupi ameachana na wewe beacause you are not her type.
 
Last edited by a moderator:
kiukweli umekariri kwamba kila mtu anavutiwa na ucheshi .. lakini wengine si hivyo so muhimu tafuta wa kulandana na weye
 
Raimundo na Madame S hiyo lugha yenu ni shida, mpaka mtu aing'amue afanye kazi ya ziada.
 
Back
Top Bottom