Ni mimi au binti ndo mwenye matatizo?

Ni mimi au binti ndo mwenye matatizo?

Raimundo & Madame S naombeni shule ya hicho kiluga ili namimi nielewe.nakosa amani
 
Last edited by a moderator:
Ukute unaongeea hata humpi mwenzio nafasi ya kuchangia or kujua kama anavutiwa na mazungumzo yako au la.Unajifanya kila kitu unajua mpaka unamkera mwenzio.Ushajua si muongeaji so mpe nafasi yeye azungumze so unaongea wewe tu.Kingine kama upo na mpenzi na ndo mnaanza mapenz tumia muda huo kumfahamu mwenzio kiundani badala ya kumpigisha stori zisizoendana na utafiki wenu.
 
Hukuwahi kuambiwa kwamba wanawake wanapenda kusikilizwa?
 
Ayabm idiaz utm anatukanm ukis ay aznawk aegnoana ikih aegnoana elik, ili enakiluja aujana etoyv. Adihs anas.

Nyie nae WANGESE lugha ambayo ni ya KIMKUNDU mnaileta JF,kama mnataka kutiana si mkutane uchochoroni ILI ICHOMEKWE TIGONI mtoe nyege zenu,sio kutujazia page kwa sababu chupi imesha rowana utoko.
 
Mi naona wewe ni POSEUR fulani hivi, unataka ukubalike kila mahali kwa kufanya na kusema wanayopenda watu kuyaona na kuyasikia. pia una nidhamu ya uoga.
Uki act namna hiyo watakukimbia tu kina dada, wako very smart ktk kujua wanataka nini kwa mwanaume.
Ila yawezekana yupo mwanamke ambaye anapenda style yako, kava buti.
 
Nyie nae WANGESE lugha ambayo ni ya KIMKUNDU mnaileta JF,kama mnataka kutiana si mkutane uchochoroni ILI ICHOMEKWE TIGONI mtoe nyege zenu,sio kutujazia page kwa sababu chupi imesha rowana utoko.

Sorry kwa kukukwaza kwa lugha yetu mkuu! Ila mzee una mitusi balaa!
 
Hahahhahaa reven eugru thiw a loof elpoep tghim ton ees eht ecnereffid oku aop??

I dedeen ot looc nwod erofeb gnidnopser, suht yhw I dednopser ylevitisop os taht I nod't niur ym yad. Okin awop iimam, epoh oku awop aip.
 
Mimi ni kijana fulani mdogo hivii, labda nianze kwa kuwaelezea sifa zangu ili nisaidiwe kwenye hili linalonikabili kwa sasa.

Mimi ni mchamungu japo sio sana lakini ni mtu mstaarabu alafu mpole sana kifupi sijawahi kuwa na historia ya kugombana na mtu.

Kutokana na utu nilionao watu wa jinsia zote na wa kila rika wamekuwa wakipenda kukaa na mimi, alafu kubwa zaidi mimi ni mtu ninayejua karibu kila kitu hamuwezi kuamini lakini najua lugha za makabila zaidi ya 10 kuzizungumza japo sio kiufasaha sana, najua pia kufanya kazi nyingi na kwa bidii yaani kila ninayeishi nae huwa anadai kunifurahia sana naweza nika socialize na kila mtu najua kuchekesha, watu wote wananipenda kwa sababu kila tukipga stori huwa nasikiliza na pia nachangia kwa hoja nzuri na zenye maana, IKUMBUKWE PIA NI MUONGEAJI MKUBWA SANA.

Tukiwa wawili naongea sana napenda kutawala mazungumzo yote nikigundua unapenda mieleka basi ntajitahidi kufuatilia nini kinaendelea ili siku tukikaa tukipga story kuhusu mieleka basi ntakuwa nakuteremshia habari zote kwa ukweli na uhakika hivyo hivyo pia katika muziki, siasa, biashara, tiba, movie, utani, fasheni, science na technology najua kuhuru sanaa pia nafanya sanaa.

Chumbani kwangu kuna vitabu vingi sana zaidi hata ya 200 alafu pia natembelea mitandaon sana hata hapa JFkaribia kila jukwaa natembelea kujifunza kutoka kwa magreat thinker wenzangu hivo najua mengi sana.

sijisifii lakini nahisi nina akili sana na nikigundua hulka yako, kama ni marafiki tunaokutana mara nyingi basi ntafanya juu chini nijifunze mengi unayopenda kusikia ili twende sawa, najua kucheza na akili za matajiri mpaka maskini , watoto wadogo wananipenda sana, wazee pia wanadai na nidhamu sana na ni ukweli mtupu nahisi sijazaliwa na hasira.

Watu wengi sana wanapenda ku share mambo yao na mimi na kwa kulijua hilo mda wote nachunga ulimi wangu nisikukwaze wala kuongea mabaya.
Kimsing nadhani mmeshanielewa mimi ni raia wa aina gani.

Hivi karibuni nilipata mpenzi mtoto flani wa kishua nikawa nikikaa nae nampigisha stori weeh kama ilivyo tabia yangu na kwa kuwa mdada mwenyewe sio mwongeaji kivile na mimi kama nilivowaambia najua kila kitu basi ikawa ndo jukumu langu kumstorisha .

Eti juzi from now where kaamua kuachana na mimi, nikamuuliza rafiki yake akanambia eti binti havutiwi na mimi sijui ooh na kiherehere sijui mara ooh naongea sana.

Sasa huyu mwanamke ana matatizo yake au ndo wanawake wote hawavutiwi kimapenzi na wanaume wa tabia zangu?

miaka ile ya 47 kweusi ungeitwa chakubanga.
 
You look fake brother, acha kutaka watu wakufurahie be your self.
 
I dedeen ot looc nwod erofeb gnidnopser, suht yhw I dednopser ylevitisop os taht I nod't niur ym yad. Okin awop iimam, epoh oku awop aip.


Heay ma doog.. Retteb ot eb tnelis anahca aen
 
Back
Top Bottom