Ni mimi au binti ndo mwenye matatizo?

Ni mimi au binti ndo mwenye matatizo?

mwanzo ulianza vizuri hadi nikataman nikuombe no. yako..

ila mwisho umemalizia vibaya, hata ungekuwa na no. yangu ungenimalizia charge kila mda, hahaha ha (joke)

bty: huenda hutoi nafasi ya kujifunza kupitia kwa mwanamke wako japo unajua kila kitu!!!
 
hata mimi ningekuacha kutoka kwenye maelezo yako tu hapo juu nimechoka! mjuaji sana! kumbuka uzuri wa mazungumzo ni yeye aongee pia nawe usikilize, la sivyo inakuwa lecture!
 
Umesema unaweza kucheza na akili za watu....mbona xaxa dem kakukimbia...akili yako inakutuma kuongea xana ndo kumteka mtu hahaha umepotea kijana ulitakiwa umsome kwanza ili ujue namna ya kumhold asikuchukie xaxa wewe unapayukapayuka tuuuu blaalfuuh..
 
Ha ha ha ha ha ha huyo mwanamke wala hana tatizo binfas sipendi mwanaume anaeongea sana, napenda mpole yani awe na story za kawaida, hivyo ulivyoandika tu waonekana mtu wa sifa, usikute maongezi yoooote unakazi yakuelezea sijui miewatu wananipenda nachekesha nina vitabu yani hayo maelezo yako tu mie yamnibore sipati picha huyo dada uko nae live unapiga tu mikelele kama unaomba kura, usikute hata bashasha huna za kumshikashika kwakweli pole, mie nimemuelewa mwanamke, tatizo jengine wanaume waongeaji sana wengi zero chumbani ha ha ha ha ha ah ahaahahahahah aati wadada ndo wanvyodai lakini.
 
Jifunze kanuni za kuonge, sio kila wakati mdomo unawasha
 
Ukikua u will understand...for now imebidi uachwe ili ujifunze
 
Umetuambia kuwa ukweli una akili,sasa akili yako unaifanyia nini kama hata tatizo dogo kama hilo umeshindwa kulitambua.
 
Mbona sasa wanajamii wenzangu wananikubali sana?yaani tena sana huwa napigiwa simu na warembo wengi wanataka tukapge nao stori na huwa nasema sana ila natema pointi tu

Mh mh mh,jehova shuka.Warembo wanakupigia simu mkapige stori.Kwa kweli kila mtu ana wake hapa duniani.Huyo binti si wako.
 
Boom limetoka mmenunua smartphone...
Acha majibu ya kizamani sana afu ya kishamba kwa mtu kama wewE
Hunijui kiundani na hujui mantiki ya mimi kuandika yote hayo
Unadhani naweza nikawa namaanisha yote nayosema
Achana na hzo mbwembwe blah blah nyingne fix tu
Point hapo ni vp ujuaji wa mtu unaathiri mahusiano
Kuwa na sera za kijanja
 
Acha majibu ya kizamani sana afu ya kishamba kwa mtu kama wewE
Hunijui kiundani na hujui mantiki ya mimi kuandika yote hayo
Unadhani naweza nikawa namaanisha yote nayosema
Achana na hzo mbwembwe blah blah nyingne fix tu
Point hapo ni vp ujuaji wa mtu unaathiri mahusiano
Kuwa na sera za kijanja

Kaandikie wenzio magazeti.
 
UJUWAJI NDIO UMEKUPONZA...... Kiherehere pia.

Eti unajua kila kitu lakini umeshindwa kujua demu anataka nini.... Sio upuuuzi huu,.....

Nenda kasome mithani ya form ya form 2 mwakani...
 
Back
Top Bottom