shayrose
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 369
- 411
Habari zenu waungwana natumai mko poa.
Tanzania ina makabila mengi zaidi ya mia na kila kabila lina utaratibu wake liliojiwekea.
Mila na desturi za makabila yetu zinatofautiana, embu tujuzane ni kabila lipi uliwahi kusikia utamaduni wake ukakushangaza na kukustajabisha.
Kwangu niliwahi kuambiwa na mama mmoja wa kikurya kuwa wao mwanamke mwenye pesa anaweza kumuoa mwanamke mwingine na kumtafutia wanaume akazaa nao, kisha hao watoto ni wa mwanamke huyo mwenye pesa. Aisee nilishangaaaa !
Kwako je ulishawahi kusikia,kuona mila za kushangaza?