Ni mila zipi za kabila lingine uliwahi kukutana nazo zikakushangaza

Hahaha kinadharia ni rahisi kusema hivyo,lakini ikikutokea u lazima utakuwa mnyonge tu,labda aliekufumania naye awe hana nguvu.

acha mchezo wewe mara ya mwisho kutumia kiko ni mwaka huu saa sita dakika moja kuurabisha mwaka. yan napga mbili hewan najua utatafuta pakukimbia.

kulipo unizalilishe kwenye himaya yangu bora uniue.
 
Kuna kabila moja, ukienda. Kuposa, ili ukubaliwe lazima ujambe mbele ya mchumba wako
 
Wakuu me niko nje ya maada kidogo Mimi nashida ya kupata mtaalam WA dawa atakayeweza kukusaidia kupata begi langu lilikua na vitu vyangu Vya msingi ambalo aliliazima Rafiki yangu akidai atalirudisha baada ya dk kumi Tu lakin mpaka sasa hajarudisha beg langu yapata miezi mitatu sasa na huu WA tisa Ni WA nne.
Naombeni msaada wenu wana jf maana kwao sipajui ILA nafahamu alipokua amepanga Tu napo ameshahama haelewek alipohamia simu yangu alishaiblock hata nikitumia no tofauti akisikia sauti yang Tu hataki kusema wapi alipo hata nikituma SMS kwa no tofauti hajibu.
Naombeni saaana msaada wenu maana nawaza saaana kuhusu vitu vyangu huenda kaenda kufanyia mambo yake sababu kulikua na nguo PIA nawaza saaana mpaka nimeamua kuwaeleza
 
wasukuma wanapenda sana sifa na kuongea mafumbo wakiachiwa uhuru wa kuongea
 
Wabena wana Mila inaitwa makwava inafanyikia mapangoni kwa siku saba siku ya sita usiku inapigwa ngoma halafu mwanga unazimwa hapo kaka na dada,mtoto na mama/baba mka mwana na baba huwa wanakulana
 
Wakuu me niko nje ya maada kidogo Mimi nashida ya kupata mtaalam WA dawa atakayeweza kukusaidia kupata begi langu lilikua na vitu vyangu Vya msingi ambalo aliliazima Rafiki yangu akidai atalirudisha baada ya dk kumi Tu lakin mpaka sasa hajarudisha beg langu yapata miezi mitatu sasa na huu WA tisa Ni WA nne.
Naombeni msaada wenu wana jf maana kwao sipajui ILA nafahamu alipokua amepanga Tu napo ameshahama haelewek alipohamia simu yangu alishaiblock hata nikitumia no tofauti akisikia sauti yang Tu hataki kusema wapi alipo hata nikituma SMS kwa no tofauti hajibu.
Naombeni saaana msaada wenu maana nawaza saaana kuhusu vitu vyangu huenda kaenda kufanyia mambo yake sababu kulikua na nguo PIA nawaza saaana mpaka nimeamua kuwaeleza
Kuna mlaamu anarudisha vitu vilivyoibiwa yupo mafinga kijiji cha sadani
 
kulitamka hadharani ndio wenyewe wanasema "AMETOGOLA BABA MKWE WAKE" unaweza kulipa faini na kupewa onyo kwa utovu wa nidhamu!

Anatakiwa asinde jina la baba mkwe wake kwa mfano mkwe wake anaitwa MANYAMA yeye atatakiwa amuite MATAKASYA
 
Wasukuma bwana..... kukiwa na sherehe hasa zile za kilimo wakati wa chakula ni ugali kwanza unatangulia, watu wanakula na kushiba halafu wali unafuatia. Yaani kwao wali ni mboga tu, ukiwapa wali na ndizi au nyama wanasema MBOGA KWA MBOGA.
Wasukuma wa mkoa gani
 
Wamasai wenzangu kutokula samaki,kuku na ndege wengineo pamoja na mayai yao.Cha ajabu ukienda umasaini unakuta wanafuga kuku lakini kula hawali,basi mie mmasai wa pwani nkienda nawafakamia vyuku balaa,asubuhi napasua yai kama tano hivi kwenye kikaangio natoa kitu cha omlete wanabaki kunishangaa tu.
Eroo ni singiri na ngukuu
 
Back
Top Bottom