Ni mila zipi za kabila lingine uliwahi kukutana nazo zikakushangaza

Wasukuma bwana..... kukiwa na sherehe hasa zile za kilimo wakati wa chakula ni ugali kwanza unatangulia, watu wanakula na kushiba halafu wali unafuatia. Yaani kwao wali ni mboga tu, ukiwapa wali na ndizi au nyama wanasema MBOGA KWA MBOGA.
 
Hahahaha! Tuvumilie Mkuu ila hata mie inanikera sana, siku moja miaka ya nyuma tulienda kulima kwa jamaa kwa kutumia ng'ombe sasa muda Wa chakula cha mchana wakaleta ugali na hawaonyeshi dalili ya wali, watu tukapiga ugali dadeki kumbe wali umepikwa asubuhi ili tusigundue kuwa kuna wali, yaani watu wameshiba ugali halafu wanaleta wali.
 
Hahahaaa. sasa hapu ukute umeshashindilia tonge za ugali za kutosha kwa hasira ya kukosa ubwabwa, utatamani ujitapishe uanze upya.
 
Aisee kuna hawa waruguru WA morogoro aisee wana culture flani ya kigodoro aisee inaleta umaskini kwenye kaya zao halafu wala hata hawashutki walikua wanshangaza sana

Of course ni culture ya kishenzi sana kwenye jamii no future, poorer families, poor social economy,

High rate of HIV, poor and sometimes absence of social particularly family control in most cases

Wanachojua wao ni ngono tu na pombe vijana kucheza poor na mpira elimu ziro kabisa waha jamaa wao na culture yao ya kigodoro ni bure kabisa
Mbona Kama points za DS mkuu
 
Teh wasukuma wana vituko sana. Wasukuma hasa wanyantuzu mwanamke akifariki wakati wa kujifungua wanawake wanachuma fimbo na kuanza kutembea barabarani ole wake wakutane na mwanaume atakula viboko vya kutosha.
Wanadai bila mwanaume huyo mama asingefariki (asingepata mimba)
 
Aisee kuna hawa waruguru WA morogoro aisee wana culture flani ya kigodoro aisee inaleta umaskini kwenye kaya zao halafu wala hata hawashutki walikua wanshangaza sana

Of course ni culture ya kishenzi sana kwenye jamii no future, poorer families, poor social economy,

High rate of HIV, poor and sometimes absence of social particularly family control in most cases

Wanachojua wao ni ngono tu na pombe vijana kucheza poor na mpira elimu ziro kabisa waha jamaa wao na culture yao ya kigodoro ni bure kabisa
Wanapenda vigodoro kuliko kula
 
  • Thanks
Reactions: a45
Watu wa mbeya kupiga vigeregere msibani

Wachaga mwanaume kulala ukweni marufuku

Wazaramo kukaa maziwa wazi mkoleni

Wapare uchoyo( natania) haha
Wambeya hapo vigelegele na pombe za kumwaga

Kwahiyo wachaga ukienda ukweni na kama hauna ndugu inatakiwa ulale hotel ama

Wazaramo ukitoka huko mkoleni wapata mchumba hapo hapo chezea vichuchu kuwa waz
 
Back
Top Bottom