Umeuliza kama bachelor vile.
Ni kweli dada yangu nimekutana na mengi.lakini kubwa nililojifunza,ndoa inahitaji subira na uvumilivu,vinginevyo utaacha na kuoa/kuolewa Sana.Hebu tupe changamoto za ndoa ulizokutana nazo na jinsi ulivyokabiliana nazo ndani ya miaka 13...
Walau tupate maujuzi....!!!
nimekusoma mkuu.nilichogundua ni kwamba wengi wetu hatujui kwa nini tunao/olewa.tunaingia kwenye ndoa tukiwa na malengo tofauti ambayo ndio chanzo cha migogoro.mfano Mimi wakati naoa gari ndio lilikuwa kitu cha kwanza,lakini mwenzangu alitaka tujenge nyumba kwanza.hapa tuligombana sana.wakuu naangalia mpira nitaendelea , nitawapeni mifano halisiChamlungu jaribu kuspecify nini kijadiliwe! Mada yako umeikita katika uwanja mpana sana! Kiasi kwamba mtu akiongea lolote kuhusu ndoa yuko right!
...
Then uhusiano wa mada na your experience is crutial thing forus!!!
If ni kweli una miaka 13 kwenye ndoa, hongera! But sitaki kuamini kama wewe hujui sababu iliyokufanya uoe!
Then spendi kuamini kwamba huzijui faida na hasara ulizopata ktk ndoa!
U can't be serious if hayo maswali hutoweza kuyajibu as well as you have locus standi upon that issues!
...
Embu add something kwenye huo uzi plz ili tuweze kulenga kunakohitajika!
I think umenisouma hapa!
Nyinyi ndo mnapaswa kuwa waalimu wetu ili tufikie hapo mlipofika nyiny..
heheheh...mkuu kwenye ndoa ulipelekwa na mafuriko ya mvua za masika ama?