Ni Mh. Lema tena na Mh. Mrisho Gambo hiyo kesho

Ni Mh. Lema tena na Mh. Mrisho Gambo hiyo kesho

Walioweka suala la uzoefu wa kazi unayoajiriwa kwayo hawakuwa wajinga kwani walikuwa na uelewa mpana wa utendaji.
Gambo akae kitako ajitafakari kama hiyo nafasi inamtoshea na ataimudu. Najiuliza,mbona ni kama kila akaapo anavuruga tu badala ya kuongoza ipasavyo? Kama vipi ajiengue tu tukutane jua Kali kijiweni.
Ma RC waige mfano kwa Mh RC Kilimanjaro Na RC Mbeya. Kwa kweli wamekomaa pia ni wachapa kazi. Bravo Mh Mec&Makala.
 
Kesho kutakuwepo na kikao cha bodi ya barabara ya mkoa wa Arusha. Wajumbe wa mkutano ni RC, RAS, ma-DC wote, ma-DED wote, Wabunge wote, TANOROADS, NCAA na Wahandisi wa Halmashauri zote.

Kwa utaratibu mwenyekiti wa kikao huwa ni mkuu wa mkoa {by default}, na makamu mwenyekiti anatokana na wabunge.

Hivyo Mwenyekiti atakuwa Gambo na makamu Mh. Lema

Sipati picha ya kikao
 
Ni bahati mbaya kuwa aliyemteua alishasema "Hajaribiwi" na akasisitiza kuwa ukiona adui yako "anapiga kelele" ujue umemkamata kisawasawa!!

Sasa kwa sbb yeye hajaribiwi;na alijiapiza kutokujaribiwa,basi hawezi kukubali "jaribu" hili la watu kutaka amuondoe Gambo Arusha.Na kwa sbb mkuu mwenyewe anaamini mtendaji wake anayezongwazongwa na watu ndio aliyewashika "pabaya" wapinzani,basi hili la Gambo litakuwa linamfurahisha sana,maana kigezo chake cha kwanza kwa mtendaji kuwakamata vizuri wapinzani ni lawama abazopewa.

Halafu tukisimama kwenye madhabahu tunaomba sala na maombi!!!Lkn tunasahau kuwa amri kuu kupita zote ni "Upendo".Tunasahau kuwa msingi wa uongozi si kisasi na fitina,bali HEKIMA na BUSARA.

Hata Mungu alipompa nafasi Suleiman ya kuomba chochote aktakacho,Mfalme Suleiman aliona kimoja tu "HEKIMA"....Akasema,Ee bwana Mungu unipe HEKIMA ili niwaongoze watu wako kwa haki na amani.Hakutaka kuomba majeshi na mali,wala mifugo na mateka,bali HEKIMA.

Inawezekana Mungu angekuwa na wasaa wa kuendelea kuongea na watawala wa dunia ya sasa,wangepewa nafasi ya kuomba,Kuna watu wangesema "Eeee Mungu naomba unisaidie kuwaondoa wapinzani wooote na vyama vyao ili nitawale kwa raha mustarehe.Ipige upofu minara yote na cable internet igome Nchi nzima".Halafu mwisho anageomba wake na masulia wengi zaidi ya marehemu Masabali
Mkuu hawa ni wanafiki tu; si tu Bwana Yesu alikuwa akiwakemea bali pia ilifika mahali akawafukuza hekaluni kwa madai ya kugeuza Nyumba ya Baba yake kuwa Panngo la wanyang'anyi. Huku wanataka kuombewa kule wanahubiri chuki na ubaguzi!!!!
 
Lema ndio kadharaulika. Kwa akli yako unadhani kwa nini Wafadhili hawakumuita Lema ndio awe Mgeni Rasmi?!?!?! Jamani naomba CV ya Lema kwanza nimuelewe vizur! maana isije kuwa ni kupoteza muda na nguvu bure!
weka cv zako kwanza
 
Kwa upande wa tengeru barabara tayari ila cha kushangaza ile ya katikati ni pana kuliko hii magari yanayopita ni nyembamba[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2][emoji16][emoji16][emoji16]
duuh[emoji23] [emoji23] makandarasi wa mwendo kazi sio? ama wameacha nafasi yakutengeneza bustan ya maua na miti ile dizain ya minazi mkuu
 
Mi nadhani kuna siri ambayo hawataki tuijue, nimefikiria hivyo baada ys kusoma barua ya mwaliko wa RC na pia tukio la yule dada kumpigia Lema magoti nimehisi kuna kitu walikuwa wanaficha. Nadhani wafadhili walitaka kuthibitishiwa kwamba serikali inaujua huu mradi na si wanatapeliwa na ndio chanzo cha kumwalika RC, otherwise wangemleta Lowassa au Mbowe. Kama mjuavyo mbunge sio mtendaji wa serikali na huko mwanzo huu mradi ulionekana kama wa chadema zaidi kuliko wa wananchi na wafadhili hawataki siasa kama barua yao inavyojieleza.<br />Yule dada nadhani alihusika kuwaaminisha wafadhili kuwa mradi ni wa wananchi na sio chama na inaelekea Lema alibembelezwa kukubali hilo, hivyo kuona Lema anapanick akajua yule mwakilishi wa wafadhili ndio picha atakayoondoka nayo na labda hata kusitisha ufadhili. <br />Kitendo pia cha kumpigia katibu mkuu ili kumshinikiza RC kuja linatia shaka, nadhani walitegemea watamtumia kama rubber stamp lakini kumbe Lema hajui wale watu wa kanisa walimzunguka tayari.<br />Ni mtazamo wangu tuu
 
Hadhi ya Gambo ishashuka pale Arusha. Huwezi kupambana na Lema ukasalimika. Magufuli atabadili sana wakuu wateule wake katika nafasi hiyo ya u-RC pale Arusha. Ili kumnusuru Gambo, Magufuli anatakiwa kumwondoa katika mkoa huo kwa maana ameshapanic na sasa anaweweseka tu. Ameshatolewa kwenye njia. Sasa anaanza kutumia polisi kuwasweka rumande waandishi wa habari. Lema ni shida Arusha!
 
kiukweli bila gambo kuondolewa arusha maendeleo ni ndoto katika mkoa huo kwa miaka mitano hii. ni mwendo wa kutunishiana misuli. tunaomba mteuzi wa gambo aliangalie hili vizuri kwa maslahi mapana ya wana Arusha na taifa kiujumla.
 
Kesho kutakuwepo na kikao cha bodi ya barabara ya mkoa wa Arusha. Wajumbe wa mkutano ni RC, RAS, ma-DC wote, ma-DED wote, Wabunge wote, TANOROADS, NCAA na Wahandisi wa Halmashauri zote.

Kwa utaratibu mwenyekiti wa kikao huwa ni mkuu wa mkoa {by default}, na makamu mwenyekiti anatokana na wabunge.

Hivyo Mwenyekiti atakuwa Gambo na makamu Mh. Lema

Sipati picha ya kikao

Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amemwamuru RPC Arusha kumuweka ndani mwandishi wa habari wa Azam tv kwa kurekodi kitu alichokataa mkuu wa mkoa huyu kisirekodiwe na waandishi wa habari.
Mwandishi wa habari aliendelea kurekodi hivyo mkuu wa mkoa kumwamrisha mwandishi wa Azam tv akamatwe kwenye kikao hicho cha wafanyabiashara na mkuu wa mkoa Arusha.

Chanzo: Mwandishi wa Azam tv.
 
Lema ndio kadharaulika. Kwa akli yako unadhani kwa nini Wafadhili hawakumuita Lema ndio awe Mgeni Rasmi?!?!?! Jamani naomba CV ya Lema kwanza nimuelewe vizur! maana isije kuwa ni kupoteza muda na nguvu bure!
Lete cv yako wewe kwanza..kwani hujui protocol inakuwaje??mbona hujauliza legality ya yeye kuwepo meza kuu??usikurupuke kama bosi wako mkuu
 
Cheo kinatolewa kwa vigezo. Ubunge sitaki kusema sana. kwa wale wanaotaka kutumia siasa kujineemesha zama hizi imekula kwao! Go Gambo Go!
Go Gambo Go. Kiwanja kilikuwa cha Lema au cha Lawyer? Naona the real issue ni kiwanha cha Lawyer. Hiyo NGO ulimilikshwa kuwanja cha Lawyer ilu uweze juongea ba wafadhili au ilikuwa middleman tu? Mie kama ningekuwa Lema ningesubiri Gambo amslize speech yake, labda angesena kitu kama "tunampongeza pia Mbunge Lema kwa juhufi zake kubwa kywakutanisha Lawyer na Wafadhili". Lakini kwa kweli Mbunge hakuna alichofanya. The RC was right, sifa niza mwenye ardhi kuitoa, hasa huko Arusha. Ingekuwa ni Chunya au Kibondo au Itigi - ambako ardhi haina mwenyewe - Mbungeangestahili sifa lakini Chunya na Itigi ndiyo hawajafaidika na CCM lakiniwanachagua CCM. Arusha na kwa Mhe MbungeLema bdiyo wamefaidi matunda ya CCM kwa kutumia mawaziri, kamishna, wasomi, na wakurugenzi wa kutoka huko, lakini ndiyo hawa hawamtaki Gumbo mteule wa CCM. Haya ni mang'ana.
 
Lema ndio kadharaulika. Kwa akli yako unadhani kwa nini Wafadhili hawakumuita Lema ndio awe Mgeni Rasmi?!?!?! Jamani naomba CV ya Lema kwanza nimuelewe vizur! maana isije kuwa ni kupoteza muda na nguvu bure!
Unajua tofauti ya Mgeni rasmi, Mfadhili na mwenyeji wa shughuli kwanza? Ni nani aliyekwambia kuwa wafadhili ndio wanateua mgeni rasmi?

Bila aibu unauliza wasifu wa Lema, utakusaidia nini wakati hata kutofautisha vitu vya darasa la nne hujui?
 
Back
Top Bottom