Ni Mh. Lema tena na Mh. Mrisho Gambo hiyo kesho

Ni Mh. Lema tena na Mh. Mrisho Gambo hiyo kesho

Yan olesendeka anapoteza tu hela za chama kwa ****** kama nyinyi mlio ajiriwa humu, umaskini mbaya sana
Sasa Olesendeka kaingiaje hapa? Wakati tuko kwa Lema?
 
Bahati mbaya sana kwamba hata Lema afanye nini huwezi tengua ubunge wake, ila Gambo kateuliwa akiharibu anatenguliwa.
 
..Lema hana shida...hata Kama ni kunywa kahawa anaweza Sana....shida iko kwa huyo dogo RC ambae ana madharau kwa wakubwa zake kwasababu ya cheo cha kupewa...hio ndio shida Arusha...
Nchi inaenda kama Gari bovu! Hata Gambo Ni Regional commissioner! Ukimlinganisha na Meck sadic ni kama panya na ng'ombe! Sijui aliokotwa wapi huyu mtu asiye tumia akili? Kuna watu wakifa Dunia nzima itafurahi.
 
Umeliona hilo kwa jicho gan?? Na ambaye hakuweka uzoefu ili kuwa mbunge alifikilia nn?
Huwezi kunielewa kwani uwezo wa ubongo wako no too low. Huyo unayemtetea tunaujua uwezo wake tangu shule ya msingi hadi hapo alipo. Uzoefu wa kazi ni muhimu.
 
E
Naomba CV ya tunayemjadili kama unataka yangu nianzishie Thread!
Eti uanzishiwe thread!! Hupati Kiki hapa! Labda utembee uchi mji mzima,au umrushie mfalme mawe ndiyo utaweza kuandikwa ukiwa marehemu tayari.
 
E

Eti uanzishiwe thread!! Hupati Kiki hapa! Labda utembee uchi mji mzima,au umrushie mfalme mawe ndiyo utaweza kuandikwa ukiwa marehemu tayari.
Yaani kwa maandishi yako nizidi tu kuwashukuru wa Tanzania kwa kutowapa uongozi watu wenye caliber kama yako maana tungekomaje! I cannot add anything more!
 
Back
Top Bottom