Ni Mh. Lema tena na Mh. Mrisho Gambo hiyo kesho

Ni Mh. Lema tena na Mh. Mrisho Gambo hiyo kesho

Kwa Arusha Gambo hawezi kumkwepa Lema lazima akubali yaishe.
 
Lema ndio kadharaulika. Kwa akli yako unadhani kwa nini Wafadhili hawakumuita Lema ndio awe Mgeni Rasmi?!?!?! Jamani naomba CV ya Lema kwanza nimuelewe vizur! maana isije kuwa ni kupoteza muda na nguvu bure!
utakuwa mpuuzi sana sasa walifikaja nchini bila Lema mwenye ArDF bila kujuwa ungeanza kwanza na ya Magufuli haswa thesis ya PHD yake
 
utakuwa mpuuzi sana sasa walifikaja nchini bila Lema mwenye ArDF bila kujuwa ungeanza kwanza na ya Magufuli haswa thesis ya PHD yake
Tuko kwa Lema leo. Mpumzishe Mh. magufuli ana kazi nyingi. Naomba jibu moja tu kwa kuwa Lema ndio aliyewalet wafadhili So what! Kwamba apange nani wa kusoma historia nai what wahta. Akichezewa mwisho ataamua kina mama wa CVhama gani wakajifungulie hapo na wachama gani marufuku. yeye kama alifanya kazi ya kuwaleta wafadhali cha muhimu ( who ever angefungua) ni kushukuru wafadhilim wamepatikana hospitali itajengwa na ifo vya kina mama vitapungua au kwisha kabisa!
 
Cheo kinatolewa kwa vigezo. Ubunge sitaki kusema sana. kwa wale wanaotaka kutumia siasa kujineemesha zama hizi imekula kwao! Go Gambo Go!
Inategemea na uelewa wako kwani kichwa kinaweza kuwa kikubwa lkn akili ni ya panzi kwa hiyo rafhima utakuwa na walakini
 
Jana Gambo kaudhi Arusha, Tanzania, Africa na DUNIA yote...!

Mungu anamuona, mpotoshaji mkubwa kabisa yule...
Kwa utafiti upi? Labda kawaudhi Makamanda. Na alichouzi Makamanda ni nini? Maana video inaonesha yeye akihutubia na Lema ndio akipiga kelele. Lema alishindwa nini kusubiri azungumze asahihishe anachoona hakikuwa kweli? Ndio busara ya wapi kupiga kelele namna ile, tena kiongozi. Kama sio bangi ni nini?
 
Lema alivyochanganyikiwa lazima avue nguo kesho
 
Lema ndio kadharaulika. Kwa akli yako unadhani kwa nini Wafadhili hawakumuita Lema ndio awe Mgeni Rasmi?!?!?! Jamani naomba CV ya Lema kwanza nimuelewe vizur! maana isije kuwa ni kupoteza muda na nguvu bure!
Kweli kabisa, Tena Gambo ana akili kweli, hakuwa anajibu kitu yeye anaendelea tu na hotuba yake. Jamaa ndio akawa kama amerukwa na akili
 
Lema ndio kadharaulika. Kwa akli yako unadhani kwa nini Wafadhili hawakumuita Lema ndio awe Mgeni Rasmi?!?!?! Jamani naomba CV ya Lema kwanza nimuelewe vizur! maana isije kuwa ni kupoteza muda na nguvu bure!
duuu akili hizi? kwahiyo kuitwa ndio kukubalika?mbona alikataa kwenda mpaka apigiwe simu!
 
Lema ndio kadharaulika. Kwa akli yako unadhani kwa nini Wafadhili hawakumuita Lema ndio awe Mgeni Rasmi?!?!?! Jamani naomba CV ya Lema kwanza nimuelewe vizur! maana isije kuwa ni kupoteza muda na nguvu bure!
Hapa mdau umechemka au unachangia kwa ushabiki mno!
Lema ni mmoja wa founders wa hilo shirika linalojenga hiyo hospital kupitia wafadhiri, atakuwaje mwalikwa wa kuwa mgeni rasmi tena aarikwe na wanaomfadhiri?!
 
Ni bahati mbaya kuwa aliyemteua alishasema "Hajaribiwi" na akasisitiza kuwa ukiona adui yako "anapiga kelele" ujue umemkamata kisawasawa!!

Sasa kwa sbb yeye hajaribiwi;na alijiapiza kutokujaribiwa,basi hawezi kukubali "jaribu" hili la watu kutaka amuondoe Gambo Arusha.Na kwa sbb mkuu mwenyewe anaamini mtendaji wake anayezongwazongwa na watu ndio aliyewashika "pabaya" wapinzani,basi hili la Gambo litakuwa linamfurahisha sana,maana kigezo chake cha kwanza kwa mtendaji kuwakamata vizuri wapinzani ni lawama abazopewa.

Halafu tukisimama kwenye madhabahu tunaomba sala na maombi!!!Lkn tunasahau kuwa amri kuu kupita zote ni "Upendo".Tunasahau kuwa msingi wa uongozi si kisasi na fitina,bali HEKIMA na BUSARA.

Hata Mungu alipompa nafasi Suleiman ya kuomba chochote aktakacho,Mfalme Suleiman aliona kimoja tu "HEKIMA"....Akasema,Ee bwana Mungu unipe HEKIMA ili niwaongoze watu wako kwa haki na amani.Hakutaka kuomba majeshi na mali,wala mifugo na mateka,bali HEKIMA.

Inawezekana Mungu angekuwa na wasaa wa kuendelea kuongea na watawala wa dunia ya sasa,wangepewa nafasi ya kuomba,Kuna watu wangesema "Eeee Mungu naomba unisaidie kuwaondoa wapinzani wooote na vyama vyao ili nitawale kwa raha mustarehe.Ipige upofu minara yote na cable internet igome Nchi nzima".Halafu mwisho anageomba wake na masulia wengi zaidi ya marehemu Masabali
Teh Teh! [emoji3] [emoji2] [emoji1]
 
Hapa mdau umechemka au unachangia kwa ushabiki mno!
Lema ni mmoja wa founders wa hilo shirika linalojenga hiyo hospital kupitia wafadhiri, atakuwaje mwalikwa wa kuwa mgeni rasmi tena aarikwe na wanaomfadhiri?!
Sasa Kama ni Founder ndio kabisaaaa! Hosptali imepatikana haijapatikana?!?!?!? Kina mama watapata unafuu au hawatapata. Unless ana hidden agenda! Otherwise he was supposed to be happy! hata kama Mwana ndie angefungua hiyo hospitali kama Focus yake ilikuwa kwa kina mama !
 
Kesho kutakuwepo na kikao cha bodi ya barabara ya mkoa wa Arusha. Wajumbe wa mkutano ni RC, RAS, ma-DC wote, ma-DED wote, Wabunge wote, TANOROADS, NCAA na Wahandisi wa Halmashauri zote.

Kwa utaratibu mwenyekiti wa kikao huwa ni mkuu wa mkoa {by default}, na makamu mwenyekiti anatokana na wabunge.

Hivyo Mwenyekiti atakuwa Gumbo na makamu Mh. Lema

Sipati picha ya kikao
Tatizo siyo mtego, Tatizo ni aliyetega mtego!
 
Back
Top Bottom