Ni Mh. Lema tena na Mh. Mrisho Gambo hiyo kesho

Ni Mh. Lema tena na Mh. Mrisho Gambo hiyo kesho

Gambo hawezi kutenguliwa uteuzi kwa sababu ya propaganda za bavicha.

Gambo amefanya makubwa Arusha kuliko hii singeli isiyo na maana yoyote tunayojaribu kuimbiwa na chadema.

Gambo alipofika tu Arusha alifumua uozo wote wa chadema ikiwemo madiwani wa chadema kujilipa posho za kifisadi, aliwaamrisha hela zote wazirejeshe na akaamru zikalipe madeni ya walimu..


Kwa mazuri haya, chadema mtasubili Sana uteuzi wa Gambo kutenguliwa.
 
Cheo kinatolewa kwa vigezo. Ubunge sitaki kusema sana. kwa wale wanaotaka kutumia siasa kujineemesha zama hizi imekula kwao! Go Gambo Go!
Toa vigezo vya huyo Mgambo,sio unaandika upuuzi hapa tunataka maendeleo sio chama na misifa hapa.
 
Utamuelewa vipi wakati akili yako umei tune kwa Gambo,ila wahisani na wananchi wa Arusha pamoja na watanzania tunaojielewa ndo tumemwelewa Lema
Watoe wahisani hawana akili za kushikiwa!
 
...cheo kinachotolewa kwa vigezo huombwa kupitia application na hupitia mchakato wa vetting kwa njia ya competition.... Hicho cheo cha huyo RC wa Arusha hakuomba bali kapewa... Na lengo ni kuvuruga upinzani Arusha... Watashindwa...
kama ni kupewa mbona wewe hukupewa. Kati ya watanzania milioni 50 yeye kaonekana ndio anaweza jiji la Arusha. Ishu sio upinzani bali wapinzani wasiofuata taratibu na shereia!
 
Ona hili nalo!! Yaani wafadhili ndiyo waliomuita Gambo?? Kwanza wanamjulia wapi? Waache kumjua Lema aliyewatafuta!akawaomba msaada! Aka propose! Akawapokea!na kumtambulisha mugambo kwao ili tu huyo Gambo azindue shughuli hiyo Ndiyo wamjue kiivyo? Yeye mwenyewe hajijui!nani atamjua?
Ha ha ha ! Hujasoma barua ya mwaliko? Wao wanajua RC ndio the top boss mkoani! badala ya kumuelimisha Lema Manampoteza!
 
Lete cv yako wewe kwanza..kwani hujui protocol inakuwaje??mbona hujauliza legality ya yeye kuwepo meza kuu??usikurupuke kama bosi wako mkuu
Naomba CV ya tunayemjadili kama unataka yangu nianzishie Thread!
 
Kesho kutakuwepo na kikao cha bodi ya barabara ya mkoa wa Arusha. Wajumbe wa mkutano ni RC, RAS, ma-DC wote, ma-DED wote, Wabunge wote, TANOROADS, NCAA na Wahandisi wa Halmashauri zote.

Kwa utaratibu mwenyekiti wa kikao huwa ni mkuu wa mkoa {by default}, na makamu mwenyekiti anatokana na wabunge.

Hivyo Mwenyekiti atakuwa Gambo na makamu Mh. Lema

Sipati picha ya kikao
Hichi kikao kirushwe Live humu JF .
Kinaanza Saa ngapi Ndugu.
Hawa watu nikisikia wapo mahala nakumbuka ile katuni ya Gazeti la Sani. ...kuna mpambano ulikua Mkali saana
Kati ya Betina ....na nani sijui nimemsahau .. .. [emoji1] [emoji1] tungoje . Kuona Ujinga mwingine Kutoka kwa Mkuu.
 
Unajua tofauti ya Mgeni rasmi, Mfadhili na mwenyeji wa shughuli kwanza? Ni nani aliyekwambia kuwa wafadhili ndio wanateua mgeni rasmi?

Bila aibu unauliza wasifu wa Lema, utakusaidia nini wakati hata kutofautisha vitu vya darasa la nne hujui?

Ha ha ha ha! Pole sana hizo akili sijui utarudishiwa lini maana hazipo kabisa afadhali mimi ni za darasa la nne! He kwa hiyo mwenyeji ni Lema sio wananchi hususa ni kina mama ! ndio maana naulizia hiyo CV ya Lema kwanza maana nielewe namzungumzia mtu gani? Sasa wafadhili wangemtambua Lema si wangemuomba kuwa mgeni rasmi? mbona wametuma kwa RC. yeye akubali nafasi yake kama mbunge asubiri 2020 nadhani atachaguluiwa kuwa sijui waziri wa Afya au wa Mahusiano na nchi jirani?! Huyo lema aache sifa za kijinga. Kwa wanaoleta maendeleo kwa ajili ya wananchi hawakwazi na vitu vidogog vidogogo kama hivyo vya kulilia ugeni Rasmi!
 
Nimeshangazwa kusikia kwamba rais amempgia cm mgambo na kumuambia kuwa anaiman naye na aendelee kuwatumikia watu wa arusha. Kumbe jambo la upotoshwaji na siasa alizozfanya pale ilikuwa ni sawa? Tanzania tutasubir sana kuwa developed country
 
Walioweka suala la uzoefu wa kazi unayoajiriwa kwayo hawakuwa wajinga kwani walikuwa na uelewa mpana wa utendaji.
Gambo akae kitako ajitafakari kama hiyo nafasi inamtoshea na ataimudu. Najiuliza,mbona ni kama kila akaapo anavuruga tu badala ya kuongoza ipasavyo? Kama vipi ajiengue tu tukutane jua Kali kijiweni.
Umeliona hilo kwa jicho gan?? Na ambaye hakuweka uzoefu ili kuwa mbunge alifikilia nn?
 
Cheo kinatolewa kwa vigezo. Ubunge sitaki kusema sana. kwa wale wanaotaka kutumia siasa kujineemesha zama hizi imekula kwao! Go Gambo Go!
Yan olesendeka anapoteza tu hela za chama kwa vilaza kama nyinyi mlio ajiriwa humu, umaskini mbaya sana
 
Back
Top Bottom