Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,123
- 32,971
Hasira za nini sasa?utakuwa mpuuzi sana sasa walifikaja nchini bila Lema mwenye ArDF bila kujuwa ungeanza kwanza na ya Magufuli haswa thesis ya PHD yake
Hasira za nini sasa?utakuwa mpuuzi sana sasa walifikaja nchini bila Lema mwenye ArDF bila kujuwa ungeanza kwanza na ya Magufuli haswa thesis ya PHD yake
subira na Busara zitumike kama alivyoasa Mh. Zitto. Tunaweza kupata Umaarufu sana kwa kutumia Mgogoro huu na Wajinga wakaushangilia lakin mwenye hasara ni Mwananchi wa Kawaida ambae nae sometimes anaweza kuwa miongoni mwa Washangiliaji
2020 utafanya nini wewe acha kutudanganya......hahahahha kura yako wewe mpelekee LowasaHuu upumbavu wa huyu shetani Yohana anaufurahia bila kutambua anadhalilishwa. Shauri yake... Tutakutana 2020
Baada ya 2020 utaanza tena oh tutakutana 2025.Huu upumbavu wa huyu shetani Yohana anaufurahia bila kutambua anadhalilishwa. Shauri yake... Tutakutana 2020
Hoja hii inahama kutoka kwenye hospitali inaingia kwenye mahusiano na uongozi unaojali watu, kwamba gambo hakutakiwa kuweka personal vendetta kwakuwa hili tunalijua liko wazi kuwa gambo na lema hawako kwenye good terms.Sasa Kama ni Founder ndio kabisaaaa! Hosptali imepatikana haijapatikana?!?!?!? Kina mama watapata unafuu au hawatapata. Unless ana hidden agenda! Otherwise he was supposed to be happy! hata kama Mwana ndie angefungua hiyo hospitali kama Focus yake ilikuwa kwa kina mama !
teh! punguza hasira mkuu. jicho litafyatuka hilo.[emoji13] [emoji1] [emoji1] [emoji14] [emoji14]Hii ishu ya Lema na Gambo inaudhi na kuchosha sana....Am like
View attachment 420889
Yote uliyoeleza ni hulka za Lema wala io Gambo! Kuleta mradi isiwe Nongwa. Labda atueleze dhumuni la mradi labda ndio tutamuelewA!Tuliza mihemko mana mwezi mchanga bado,usikariri si kila barua ya mwaliko lazima uandikiwe watakao hudhuria na wahisani walifanya vile makusudi sababu walijua asiyejitambua angekataa Lema asihudhurie kwa wivu wa kike(ni ajabu kwa mwanaume kuwa na husuda ya kike) sasa ni vyema wewe unayeomba CV ya Lema ukaleta yako ili tutahaminishe kama inakupa heshima hata kwa familia yako unayotokea au ni mzigo..
Sasa hayo mazoea ndio yanayotuponza ule uenyeji hata mtu akifanya kosa kwa kuwa mwenyeji basi inabadilisha. We should stop tghis kama tunataka maendeleo!Hoja hii inahama kutoka kwenye hospitali inaingia kwenye mahusiano na uongozi unaojali watu, kwamba gambo hakutakiwa kuweka personal vendetta kwakuwa hili tunalijua liko wazi kuwa gambo na lema hawako kwenye good terms.
Ndipo tunasisitiza kama viongozi waliopewa dhamana walikuwa na wajibu ku behave mbele ya wananchi wao, kwa mfano gambo angetangulia kusema uhalisia wa mradi kama alitaka kusimulia historia yake (japo na hii haikuwa muhimu historia unles aliishiwa au hakujipanga kuongea)
Lakini na lema naye alitakiwa kuwa mvumilivu mpaka amsikie mwisho wake gambo anaongea nini, na kama hakuwemo kwenye ratiba ya kuzungumza angetumia uenyeji wake kwenye mradi huo kuomba ku clarify issues (out of protocol or in protocol)
Shida ni kwamba hawa wote wanakuwa ignited na yanayowasibu binafsi na kusahau kuwa wao ni viongozi wa wananchi.
Hata hivyo kwa mtazamo wangu, gambo anajiweka kwenye nafasi mbaya kwa hao wananchi kutokana na ugeni wake pale si kama lema aliye nyumbani kwake kwa watu wake waliomzoea tabia zake. (Tusisahau mcheza kwao.........)
Gambo Alichofanya jana ni utoto, na hili la kughushi barua ili kumprempty Rais ni utoto mwingine ili iyonekane ni wapinzani ndo wamefanya hivi..., Huyu jamaa bado ana akili za kitoto mno. Arusha imemshindaHii imekaaje?View attachment 420955
Wewe jamaa wewe, uko na kizaazaa.....Ni bahati mbaya kuwa aliyemteua alishasema "Hajaribiwi" na akasisitiza kuwa ukiona adui yako "anapiga kelele" ujue umemkamata kisawasawa!!
Sasa kwa sbb yeye hajaribiwi;na alijiapiza kutokujaribiwa,basi hawezi kukubali "jaribu" hili la watu kutaka amuondoe Gambo Arusha.Na kwa sbb mkuu mwenyewe anaamini mtendaji wake anayezongwazongwa na watu ndio aliyewashika "pabaya" wapinzani,basi hili la Gambo litakuwa linamfurahisha sana,maana kigezo chake cha kwanza kwa mtendaji kuwakamata vizuri wapinzani ni lawama abazopewa.
Halafu tukisimama kwenye madhabahu tunaomba sala na maombi!!!Lkn tunasahau kuwa amri kuu kupita zote ni "Upendo".Tunasahau kuwa msingi wa uongozi si kisasi na fitina,bali HEKIMA na BUSARA.
Hata Mungu alipompa nafasi Suleiman ya kuomba chochote aktakacho,Mfalme Suleiman aliona kimoja tu "HEKIMA"....Akasema,Ee bwana Mungu unipe HEKIMA ili niwaongoze watu wako kwa haki na amani.Hakutaka kuomba majeshi na mali,wala mifugo na mateka,bali HEKIMA.
Inawezekana Mungu angekuwa na wasaa wa kuendelea kuongea na watawala wa dunia ya sasa,wangepewa nafasi ya kuomba,Kuna watu wangesema "Eeee Mungu naomba unisaidie kuwaondoa wapinzani wooote na vyama vyao ili nitawale kwa raha mustarehe.Ipige upofu minara yote na cable internet igome Nchi nzima".Halafu mwisho anageomba wake na masulia wengi zaidi ya marehemu Masabali
Ishu ni kudanya namna eneo lilivyopatikana, na nani ameshughulika na nini. Si busara kwa kiongozi kuanganyà tenà mbele ya hadhara.Tuko kwa Lema leo. Mpumzishe Mh. magufuli ana kazi nyingi. Naomba jibu moja tu kwa kuwa Lema ndio aliyewalet wafadhili So what! Kwamba apange nani wa kusoma historia nai what wahta. Akichezewa mwisho ataamua kina mama wa CVhama gani wakajifungulie hapo na wachama gani marufuku. yeye kama alifanya kazi ya kuwaleta wafadhali cha muhimu ( who ever angefungua) ni kushukuru wafadhilim wamepatikana hospitali itajengwa na ifo vya kina mama vitapungua au kwisha kabisa!