Ni mawazo yamenizidi au uzembe?

Ni mawazo yamenizidi au uzembe?

Jaribu kuzinakiri hizo namba kwa kuacha nafasi moja baada ya nyingine maana utakuwa unaumia kila wakati huwa inatokea kukosea ukiwa na mawazo, pole sana
Asantee
 
Nitaisaidia serikali kukusanya pia maana ndo nilichokihangaikia 3 yrs ifm
Hahahah..! Kumbe ndiyo shida yako mtoza ushuru uolewi kipindi hichi cha magu..!

Afu IFM nyie mabinti wa huku, ukimaliza pale ukiwa salama ujue si nguvu na akili zako..!
 
Hahahah..! Kumbe ndiyo shida yako mtoza ushuru uolewi kipindi hichi cha magu..!

Afu IFM nyie mabinti wa huku, ukimaliza pale ukiwa salama ujue si nguvu na akili zako..!
Kwanini?
 
Back
Top Bottom