Hapana thos works...tena haswa kama unamtoto uwe unamkanda na mafuta hayo...mabichwa hayo makavu utaachaje kujisahau sahau...yamejaa masumu yanayotoka kwenye madawa yenu ya nywele...Utaniambia ninywe alovera sasa.
Pumzika vya kutosha na ule vyakula vya kitanga unavyopenda.Utarudi kwenye hali ya kawaida.Itakua zimeanza hivo
Hamna cha bahati, uwe serious mumeo yupo shida umeng'ang'ania waume wa wenzio kisa wanavitu unavyopenda..!Mi sina masharti mkuu. Sijabahatika tu.
Utakuwa unasoma namba mbili mbiliYani nahakikisha mara mbili mbili na bado nakosea.
Ukihitaji msaada ni PM. Inawezekana kweli ujue
Mi hata dawa ya nywele siweki. Nywele zangu ni maalum kwa weaves na wig hizo sumu sina kwa maana hiyo.Hapana thos works...tena haswa kama unamtoto uwe unamkanda na mafuta hayo...mabichwa hayo makavu utaachaje kujisahau sahau...yamejaa masumu yanayotoka kwenye madawa yenu ya nywele...
Huhuhuhuhh..! Uko serious nikupatie mume faster??Basi nipeleke alipo huyo mume wangu akanioe.
Jaribu kuzinakiri hizo namba kwa kuacha nafasi moja baada ya nyingine maana utakuwa unaumia kila wakati huwa inatokea kukosea ukiwa na mawazo, pole sanaLabda