Ni mawaziri gani ambaye ugeshauri rais awatumbue?

Ni mawaziri gani ambaye ugeshauri rais awatumbue?

Kama Rais ssh angekuwa anapokea malalamiko na ushauri wetu na kuvofanyia kazi haraka na vilivyo, ni mawaziri gani ungetaka na kushauri watumbuliwe haraka?

Nianze na 'Dr' Mwigulu Nchemba

Naomba uweke wako hapa, maybe Rais anaweza kusoma au kufikishiwa unumbe.
Wote!
 
Waziri anayehusika na mazingira... Taka za plastiki laini zimejaa mtaani wakati Mh. Makamba Januari aliziondoa Kwa Sheria kabisa. Kama vipi Makamba arudishwe kwenye hiyo nafasi.
Hivi kufanya usafi kunahitaji hela? Hata wanashindwa kuhamasisha wananchi na serikali za mitaa kufanya usafi mitaa yetu? Wanashindwaje kufuta plastic laini kama vifungashio? Au kuharamisha matumizi ya one-time plastics?
Nikiona jinsi plastiki na taka nyingine zilivyojaa mitaani ndio naamini serikali yetu huwa haijali madhara ya uchafuzi wa mazingira.
Sijazungumzia taka za kielektroniki
 
Kama Rais ssh angekuwa anapokea malalamiko na ushauri wetu na kuvofanyia kazi haraka na vilivyo, ni mawaziri gani ungetaka na kushauri watumbuliwe haraka?

Nianze na 'Dr' Mwigulu Nchemba

Naomba uweke wako hapa, maybe Rais anaweza kusoma au kufikishiwa unumbe.
Yeye ndo ajitumbue
 
Back
Top Bottom