Ni mawaziri gani ambaye ugeshauri rais awatumbue?

Ni mawaziri gani ambaye ugeshauri rais awatumbue?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
10,959
Reaction score
13,424
Kama Rais ssh angekuwa anapokea malalamiko na ushauri wetu na kuvofanyia kazi haraka na vilivyo, ni mawaziri gani ungetaka na kushauri watumbuliwe haraka?

Nianze na 'Dr' Mwigulu Nchemba

Naomba uweke wako hapa, maybe Rais anaweza kusoma au kufikishiwa unumbe.
 
1. Mwigulu
2. Kitila Mkumbo
3. Bashungwa
Kuna wengine wengi hawafai lakini kila mtu anajua these three are not competent enough to hold a ward office let alone a district office.
 
Mke wa Mbowe huyo anakurupuka tuu, yani chuki iko mbele kama Papa yake 🔥
Kama Ni mke wamwanaume haina shida hata angekua nyumba ndogo tatizo nikama mtu mwenye degree nyingi akiwa na choko lake Tabata au yule ehhh huyo huyo kutoka mkoa wa mipakani aliye na machoko, nadhani Kuna watu wanaamini kuwa na choko kunamfanya abakie madarakani.
 
Wote hovyo tu

Muhimu ni kwenye afya kuwekwa mtu mwenye sifa sahihi.

Huyu wa sasa kwenye afya Mhagama hata wakimfanya waziri mkuu, waziri wa fedha, mambo ya ndani, mambo ya nje. Wampe wizara yoyote kubwa kama anafaida kwao ila sio afya.

Serikali ya Tanzania inachukulia maisha ya raia wake poa sana.
 
Kama Rais ssh angekuwa anapokea malalamiko na ushauri wetu na kuvofanyia kazi haraka na vilivyo, ni mawaziri gani ungetaka na kushauri watumbuliwe haraka?

Nianze na 'Dr' Mwigulu Nchemba

Naomba uweke wako hapa, maybe Rais anaweza kusoma au kufikishiwa unumbe.
haina maana hajali tunachosema wala kutaka kama katiba kwake ni kitabu ushauri wako utakuwa ni kelele
 
Kama Rais ssh angekuwa anapokea malalamiko na ushauri wetu na kuvofanyia kazi haraka na vilivyo, ni mawaziri gani ungetaka na kushauri watumbuliwe haraka?

Nianze na 'Dr' Mwigulu Nchemba

Naomba uweke wako hapa, maybe Rais anaweza kusoma au kufikishiwa unumbe.
Ajitumbue yeye na wenzie wote maana wote ni wale wale
 
Nilitamanigi yule wa bao la mkono atumbuliwe.

Akatumbuliwa.

Leo hii nataka nimpe maua yake.

ila kwa sasa...kuna mwingine, huyo nitakula naye sahani moja muda sio mrefu.

Jamii yetu inaharibika
 
Kama Rais ssh angekuwa anapokea malalamiko na ushauri wetu na kuvofanyia kazi haraka na vilivyo, ni mawaziri gani ungetaka na kushauri watumbuliwe haraka?

Nianze na 'Dr' Mwigulu Nchemba

Naomba uweke wako hapa, maybe Rais anaweza kusoma au kufikishiwa unumbe.

Nadhani kurahisisha, hivi rais akijitumbua, si inakuwa tumeondoa mawaziri na serikali yote? Nadhani hii ndio ingefaa.

#NRNE
 
Back
Top Bottom