Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 14,506
- 27,002
Ndugu zangu!
Ni kawaida kukutana na tangazo kama hilo mitaani. Wengi hukazia kwa kuita AMRI, ONYO au ILANI sijui.
Sasa basi, huyu mwanangu mdogo kaniuliza: hii marufuku ni ya nini ikiwa kuna FAINI na mtu angeweza kuchagua?
Sehemu nyingi (kama sio zote) nilizowahi kuona, faini ni shilingi 50,000/- tu. Hii imeidhinishwa kitaifa? Kwa kuzingatia nini?
Hebu tumsaidie huyu mtoto.
Ncha Kali.